Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?

ccm

wanabadirishana uongozi maana kuna hazina kubwa ya viongozi safi sasa chadema hawana mtu mwingine wakimtoa mbowe wengine wote vilaza ndiyo maana ya kubaki na mbowe miaka yote wengine hawajitambui
Wala usipate taabu. Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.
 
Akili kisoda CCM ni taasisi Mbowe ni mtu
Au mbowe kwenu ndio Chama
Wala usipate taabu, huu mchezo hauhitaji hasira. Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.
 
Sasa kama chama kina watu wote hawajitambui Kuna chama hapo? 😂
Wala usipate taabu. Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.
 
Kumbe hujui historia ya CHADEMA wewe,

Mbowe alitoka mwenyekiti wa BAVICHA kisha Mwenyekiti wa CHAMA,
sasa tukisema ni mkt miaka 30 tunakosea wapi?
Kumbe umefunguwa hii ID jana kwa ajiri ya Mbowe?

Njoo na ID yako halafu utaelimishwa Mbowe alikuwa katibu mkuu wa chama.
 
Wala usipate taabu. Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.
Wanaodhani kujenga chama ni kazi rahisi wamuulize Zitto Kabwe.

ACT inasikika Zanzibar kwa nguvu za Maalim Seif, kwa bara ACT ipo Kigoma tu.
 
Wanaodhani kujenga chama ni kazi rahisi wamuulize Zitto Kabwe.

ACT inasikika Zanzibar kwa nguvu za Maalim Seif, kwa bara ACT ipo Kigoma tu.
Zitto sio mwenyekiti acha kumfananisha Zitto na wanasiasa wa ajabu ajabu
 
Eti kwamba toka chadema kimeanza hakijawahi kuwa na mwenyekiti mwingine zaidi ya mbowe?! Hapana siyo kweli
 
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,

Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,

Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao

1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"

2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'

3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"

4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "

5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"

6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"

7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"

8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"

9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"

10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"

11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"

12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"

13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"


Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )

Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.

Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.

Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.

Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?

TUTAFAKARI!!
Kwa sababu mbowe ndiyo anakopa mijihela ya nchi huko
Nje,mikopo yote hii ni mbowe

Ova
 
Mbowe kauwa upinzani Tanzania
Mzee wa maslahi.
Mzee wa gia ya angani
Mtu safi hawezi kaa chadema.
Ccm hatuwataki na upinzani unahujumiwa na Mbowe.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Back
Top Bottom