Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,207
- 17,674
Sasa hao waliotoka wamefanya nini kuziba hayo mapungufu na kuleta kitu bora???,basi wangekuwa wanafanya tofauti na kutushawishi sisi twende lakini hawana chochote zaidi ya lawama.
Watanzania wengi ni maskini wa mali hadi fikra,hakika mbowe angesema aachie chama hadi leo hiyo Chadema ingekuwa imisha kufa.
Mtu pekee Mbowe anatakiwa umwachie chama ni Lissu,atleast jamaa anaweza kupambana na kupeleka chama magali-tatizo ni uchumi sijui kama Lissu anao-kuongoza chama cha upinzani ukiwa maskini huwezi fikisha miaka 5 utaninuliwa tu na watawala.
Hata Nyerere aliambiwa hivyohivyo, ukiiachia Tanzania itafutika lakini mpaka leo ipo. Mbowe must go