DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Kiukweli mm siipendi ccm lakini suala la Mbowe kuwa mwenyekiti miaka nenda rudi linafikirisha sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujanja ujanja mwingiNimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,
Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?
Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora CCM ibaki tu madarakani milele?
Mbowe ni MwanaCCMKiukweli mm siipendi ccm lakini suala la Mbowe kuwa mwenyekiti miaka nenda rudi linafikirisha sana...
Hivi nyie mnadhani kuongoza chama mchezo,kama huna hela utanunuliwa kesho tu.nakubali ulichoandika sasa kwann tusi msupport TUNDU LIUSU?
Kwani CCM ilikuwa ya nani bro? Kama sio Nyerere.Hakuna wananchi wanaanzisha chama hizo huwa ni ngonjela za kupumbaza wajinga-vyama vinaanzishwa na mtu au watu wachache Duniani kote.Kumbe ni kweli CHADEMA ni ya Mbowe
Kwani TANU iloyabadilika na kuwa CCM ilikuwa ya nani bro? Kama sio Nyerere.Hakuna wananchi wanaanzisha chama hizo huwa ni ngonjela za kupumbaza wajinga-vyama vinaanzishwa na mtu au watu wachache Duniani koteKumbe ni kweli CHADEMA ni ya Mbowe
Akikujibu hilo uniambieKingine ulichosahau kuuliza ni hiki, kwanini hawa unaowasema wakiondoka Chadema huko waendako wanapewa vyeo, na kuwapiku wanaccm wa miaka mingi wafia chama?
Ukiunganisha hoja hizi mbili tunaweza kupata jibu kirahisi sana
Mbowe asali imekolea utamu🤣🤣Chama kimechafuliwa na ulambaji asali Toka CCM!!
Mbowe ni mwanaccm aliechangamka anaefaidika na mfumo wa CCM uliopo!!
Mission ya kuzigawa kura za chadema imekamilika kupitia uchaguzi!
Vinyongo na sarakasi zitakigawa chama!
Ziti na mbatia kaeni mkao wa kula!
Baba mkwe alimwapiza kuwa hiki chama ni lazima amrithishe mwanaeNimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,
Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?
Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora CCM ibaki tu madarakani milele?
Hoja dhaifu sana hii. Mbowe hata kama ana impact hapaswi kuikanyaga demokrasiaMbowe ana impact. Ni mti Wenye matunda.
KWANOrodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
MBOWE AMEKUWA MWENYEKITI KWA MIONGO MIWILI TU (2004) NA SIO MIONGO MITATU KAMA UNAVYOTAKA KUPOTOSHA.Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi Kabwe: "Naondoka CHADEMA tatizo ni Uenyekiti wa CHADEMA"
2. Dkt Willbroad Slaa: " Nimeondoka CHADEMA Mbowe amebadili gia angani'
3. Patrobas Katambi; "Mbowe anakifisadi CHADEMA nimeamua kuondoka Leo"
4. Dkt Vicente Mashinji: " Siwezi kuishi kwenye Chama mali ya mtu binafsi "
5. Fredrick Sumaye: " Niliambiwa na Mbowe sumu haionjwi kwa Ulimi"
6. Peter Lijualikali " Mbowe anachukua pesa yote ya Chama anadai eti amekikopesha Chama"
7. David Silinde: " Mbowe sio mtu msafi ndani ya CHADEMA"
8. Cesili Mwambe " CHADEMA ukitaka kumpinga Mbowe lazima ung'olewe tu"
9. Joseph Selasini " CHADEMA inavurugwa na Mbowe kung'ang'ania madaraka miaka 30"
10. Joshua Nassari " Chama hakiwezi kuwa Cha mtu mmoja vijana tutaonekanaje"
11. Said Arfi " CHADEMA inaongozwa na mtu mmoja na mtu huyo sio msafi"
12. Sabreena Sungura " CHADEMA hata ofisi tumeshindwa kujenga pesa zote anazo Mbowe"
13. Upendo Peneza " Mbowe anaiua CHADEMA na hakuna demokrasia huko"
Tukumbuke Mbowe ni Mwenyekiti kwa takribani Miongo mitatu Sasa ( 30yrs )
Mbowe tangu miaka ya 1990's amekuwa Mwenyekiti wa BAVICHA.
Mbowe ni Mwenyekiti pekee wa Chama Cha Upinzani aliyedumu madarakani kwa muda mrefu zaidi.
Tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania Mbowe ni Kiongozi wa CHADEMA.
Swali, Je, Nikweli kwamba Mbowe anaamini wenzake wote akiwemo Heche na Lissu wakipewa Uenyekiti watasaliti na kurejea CCM?
TUTAFAKARI!!
Naomba unijibu maswali hayaNimekuja kugundua hiki Chama kimejaa uhuni mwingi,
Kwanini mtu aachwe Mwenyekiti miaka 30 huku akifukuza huyu na yule?
Sasa lengo la vyama vingi liko wapi si Bora CCM ibaki tu madarakani milele?
Mbona vyama viko 19,kama wanaohama toka vyama vingine wanatoa sabàbu inakuwaje wanaohama CHADEMA kutoa sababu iwe nongwa ?wanatamani washushe Tanga,Bado yupo sanaKUNA WABUNGE 19 WA VITI MAALUMU BUNGENI UNAJUA? NANI ALIWAPELEKA? UNAJUA KILICHOTOKEA KWENYE UCHAGUZUZI WA 2020? MAGUFULI ALIPATA KURA NGAPI ANDIKA HAPA? LISU JE? ANDIKA HAPA KWA VIELELEZO TOKA MNAYOIITA TUME YA UCHAGUZI
Hata mkijisafisha hatuwapi nchi...Mnyika ni mtu safi hawezi ungana na wahuni hata mara moja.
Chama kikuu cha upinzabi ni CDM..JHivi vingine funika kombe tuu..Wala usipate taabu. Waulizeni kuwa vyama visivyoongozwa na Mbowe vimepiga hatua gani? Wakijibu vema, nami nitaungana nao Kumpinga.