Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri? Au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
 
Kwani hujui athari ya Shule za kubebwa
 
Tatizo letu kubwa hapa nchini ni tunaongozwa na akili ndogo, haziwezi kuleta majibu ya changamoto zinazotukabili kama Taifa!.
Katiba KATIBA katiba!!!.
 
Mkuu na wewe unatuchosha,kwani matokeo yake ya shule hukuyaona? Sasa mtu ambaye hana akili anakusumbuaje kuumiza kichwa? Anajuana na wanao mteua dhamira yao!!
 
Mkuu na wewe unatuchosha,kwani matokeo yake ya shule hukuyaona? Sasa mtu ambaye hana akili anakusumbuaje kuumiza kichwa? Anajuana na wanao mteua dhamira yao!!
Ohooooooo !!!
 
Mbona husemi zilifutwa yeye akiwa waziri pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…