Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri? Au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
Tatizo shule!
 
Mchongo wa uchaguzi ,mana anaujua mziki wa MJOMBA wake LISU

Wanasaka pakufinyia maandamana na mengineyo baada ya uchaguzi
 
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.

Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa Waziri? Au na hili nalo atasema limetoka Ikulu kama alivyosingizia Awamu ya 5?
Nape jamaa hakubaliki Hadi jimboni kwake Yani watu hawamuelewi, Kuna siku nilikuwa nyangao Lindi nikamfuma anazindua sijui nini pale Yani ni sokoni lakini watu waliokuwa hawana habari nae wako busy kuuza upupu JAMAA HAKUNA KITU PALE
 
Kuna jamaa anajiita kigogo anapita NAE ile mbaya itakuwa wanataka wamzimie mtambo
 
Back
Top Bottom