Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

Sio kuwa natetea hila najaribu kukuelewesha ukisema kukemea inabidi tukemee mambo yote ambayo ni crime lakini tumeyahalisha kuwa sio crime mtu alie zini na alie practice ushoga wana tofauti gani?
Uko upande wa papa na mimi sikulaumu endelea na msimamo wako
 
Baadhi ya media kwa maslahi binafsi zinaamua kwa makusudi kulichafua kanisa katoliki kwa kupotosha kupitia kauli kadhaa za kiongozi mkuu wa kanisa katoliki. Sasa hii ukisakuta vichwa panzi wanaochukulia mambo juu kwa juu wanazibeba kama zilivyo bila kufuatilia kiundani.

Kanisa katoliki lipo kinyume na maswala ya ushoga na haliwezi kukubaliana nayo hayo mambo. Mfano soma aya ya mwisho katika kauli za papa. Lakini kichwa cha hii mada kilivyo andikwa lazima ukubaliane na huyu mleta mada. Tufuatilie mambo kwa undani
Screenshot_20230125-223717.jpg
 
Papa kasema “Being homosexual isn’t a crime,”

Mbona inaeleweka kwanini tuvutane sana ? Mimi sina chuki na papa
The issue is "isn't a crime for whom"

Yeye Papa ulitaka aseme ni jinai kwani yeye hakimu?Kanisa limepewa na nani amri ya kusema ushoga nI kosa badala liwaambie waumini "ni dhambi",kazi ya Kanisa siyo kuthibitisha kitu fulani ni jinai kazi ya Kanisa ni kuwaambia watenda jinai kwamba hicho mnachokifanya ni dhambi na chukizo kwa muumba wenu na ndicho alichokifanya Papa.
 
The issue is "isn't a crime for whom"

Yeye Papa ulitaka aseme ni jinai kwani yeye hakimu?Kanisa limepewa na nani amri ya kusema ushoga nI kosa badala liwaambie waumini "ni dhambi",kazi ya Kanisa siyo kuthibitisha kitu fulani ni jinai kazi ya Kanisa ni kuwaambia watenda jinai kwamba hicho mnachokifanya ni dhambi na chukizo kwa muumba wenu na ndicho alichokifanya Papa.
Kwani alivyosema siyo jinai alikua Hakimu?
 
Kwani alivyosema siyo jinai alikua Hakimu?
Ni maoni yake kama mimi na wewe tunapotoa maoni kuhusu hili jambo.

Haya tuseme Askofu ndani ya America taifa linaloamini ushoga siyo jinai asimame aseme ushoga ni kosa kisheria kisha asimame mtu shoga aseme haya mimi hapa shoga twende ukanifunge atampeleka gereza gani kwenye nchi inayosema ushoga siyo jinai?

Pope angesema kwamba ”Popote duniani bila kujali utamaduni na sheria za nchi husika Kanisa Catholic linapaswa kujua ushoga ni dhambi ila siyo jinai" hili jambo kwa wanaoshabikia kusema papa amekubali ushoga wangekuwa na points ila tukipitia line alizoongea kwa umakini utagundua ilikuwa jukumu lake kutoa tahadhari na tahadhari ameitoa kwa wahusika.
 
Mzee hiyo umeitolea wapi? Tunaomba ushahidi kama.sio stori za vijiweni na wenye chuki

Mzee hiyo umeitolea wapi? Tunaomba ushahidi kama.sio stori za vijiweni na wenye chuki
Wanazuoní wanajua nachomaanisha!!!!Mnamsimanga papa wakati hata hizo dini nyingine wanaume wanabusiana ndimi na ulimi!!!!Sio maneno yangu ni maneno ya adithi na aya kaka!!!!
 
Basi kama umeshindwa kutoa ushahidi kauli zako na kubwabwaja kwa chuki tu basi kwa ujinga uliofikia haipaswi mtu mwerevu na mwenye akili timamu kuendelea na mijadala na wewe ..

Hizo tabia za wambea vijiweni na wajinga kuropoka hovyo bila kuchunguza na pasi na ushahidi kamili.. View attachment 2496586
Kaka wanazuoni wa kiislamú wanajua nachomaanisha!!!Wewe nenda kawaulize kuhusu muhamad kubusú ndimi na limi za wanaume wenzie kua ni sunna na utapata pepo!!!Au hauna elimu akhera kaka????Unanikasirikia mimi wakati wanazuoni wa itifaki za kiislamu wanazijua hizo aya na adithi!!!!
 
Papa kasema very clearly; ushoga ni DHAMBI! Angesema vinginevyo ingekuwa ajabu! Wito #1 alioitiwa ni kuhubiri watu kuacha dhambi; na katekeleza kazi yake ya msingi, kuhubiri dhidi ya dhambi.
Hivi wewe unaweza kumwambia mtoto wako kuwa kulawitiwa/kulawiti sio kosa, halafu ukaongezea ila ni dhambi. Hivyo ndio utakuwa unamuhubilia aache hiyo dhambi. Mtatetea mpaka lini?
 
Mimi nim

Mimi nimesoma kuna aya na adithi muhamad anabusu wanaume wenzie!!!Sasa hana tofauti na papa!!!Kuhusu yesu mungu wa wakrsto sijui!!!Lakini kwa muhamadi kuna aya kabisa na adithi!!!Wanazuoni wa kiislam wanajua nachomaanisha
Ndio u
Wale watu was lamu na Mombasa ni wakristo
Wanaopromote haswa ni upande gani
 
Mími ndio nawaelekeza sio papa tu na hata muhamadi alikua anabusu ndimi na limi za wanaume wenzie!!!!Wanazuoni wananielewa

Shida yao kubwa wanajiona perfect sana wakati wana makasoro mengi kazi kuvaa kanzu njiwa kama wanavuka mto ruvu

Wafwatilie wale wanao fuga mzuzu kama mchicha poli na wana weka brich utaelewa
 
Basi mpaka hapo hakuna wa kulaumiw kwa binadamu ushoga asili yake imejificha sana hata huko sodoma na gomora hawakueleza kiini au sababu za wao kuona ni sawa kushiriki ushoga kwahio bado hatujajua sababu halisi ya hili tatizo
Sasa hawa wanamuona papa tu peke yake na ukiwaambia kuhusu muhamadi wanakasirika wakati aya na adithi zipo wazi kabisa
 
Shida yao kubwa wanajiona perfect sana wakati wana makasoro mengi kazi kuvaa kanzu njiwa kama wanavuka mto ruvu

Wafwatilie wale wanao fuga mzuzu kama mchicha poli na wana weka brich utaelewa
Wanaopaka ndevu rangi ya njano,wakati mwingine unakuta ndevu au masikio Yana mafuta
 
Hata kama ingekuwa kweli...

Kubusu midomo Usikufananishe na kitendo cha mtoto wa kiume kuchora 7 halafu mwanaume mwenzio anakupenyezea kitu kigumu kumatako!
Sasa kunyonyana ndimi si ndio mwanzo wa kunyanduana!!!!!Kama unaona kunyonyana limi na kubusiana ni sawa njoo unyonywe ndimi uone!!!!Wewe kweli unambusu mwanaume mwenzako midomo kaka!!!Ebu kua seriously na maisha kaka
 
Back
Top Bottom