Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

Eti kuna mtu anajifanya kumnanga mtoa mada kama vile bado ni mtot sana kwa kuongelea kiporo. Hivi watanzania wengi ndivyo vilivyotulea sisi wengine. Familia watu 12, hivi hiyo mikate na blueband itakuwa mingapi, kama ni keki utanunua ngapi, vitumbua labda ulete 50. Ila linashushwa sinia la kiporo cha wali au pilau na maharagwe, unaambiwa ngoma mpaka saa 10 mchana husikii njaa
Yaaani umegusa palepale,sisi ni wanafiki tena huyo anayesetusema alilelewa na kiporo sasa tunapozumgumzia kiporo tunamkumbusha machungu aliyopitia. Ni nani aliye na uthubutu wa kusimama na kusema hakuwa akila kiporo na asimame na kutamka mbele yetu humu.Watu wengine bwana kwa kujifanya watu wa juu au watu exposed
 
Conclusion,Kiporo cha wali kwa maharage ya nazi ni kitamu sana hasa kikiliwa na chai ya rangi...
 
ni kweli hata Ngararimo, Ng'ande na Kiburi ni vitamu sana vikilala
 
Ni hatari kwa utam, sababu ni naz inakua imeivia vizur na imetengeneza futa.ila kwa kitambi sasa uporo.
 
Back
Top Bottom