Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

Yaaani umegusa palepale,sisi ni wanafiki tena huyo anayesetusema alilelewa na kiporo sasa tunapozumgumzia kiporo tunamkumbusha machungu aliyopitia. Ni nani aliye na uthubutu wa kusimama na kusema hakuwa akila kiporo na asimame na kutamka mbele yetu humu.Watu wengine bwana kwa kujifanya watu wa juu au watu exposed
 
Conclusion,Kiporo cha wali kwa maharage ya nazi ni kitamu sana hasa kikiliwa na chai ya rangi...
 
ni kweli hata Ngararimo, Ng'ande na Kiburi ni vitamu sana vikilala
 
Ni hatari kwa utam, sababu ni naz inakua imeivia vizur na imetengeneza futa.ila kwa kitambi sasa uporo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…