Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

umenena mazito sana. Ni kweli kuna mambo ukizungumza unaweza onekana ni kichaa mbele ya jamii. Ya sirini ni makubwa mno mno mno kuliko yaliyo wazi. Hata siri tu za serikali kuna baadhi zikisemwa kuna watu lazima watesema msemaji ni kichaa maana hawaamini kama serikali inaweza fanya hayo.

Baadhi ya wazazi pia wana siri ambazo watoto wao hawajui na pindi ukiwambia watakuona umechanganyikiwa na utageuka kuwa adui yao mkubwa
 
baby wangu kumbe unamjua Mungu eeh ngoja nitafute kitabu cha tomaso halafu kitakuwa cha kweli maana huyu tomaso alikuwa mwanafunzi wa yesu so ina maana aliyoandika ni ya kweli maana aliyaona unlike kina mathayo .luka marko wale walisimuliwa tu
Mimi simwamini Paulo kabisa, maana hana maandiko yenye kugusa moyo zaidi huwa anashauri mambo ya mwili tu, hii hunifanya nihisi huyu hakuwa mwanadini ila msomi tu aliyewalaghai watu waoga wa kipindi kile.
 
Anakuja mtu anatudanganya eti mbona biblia haijaandika, wewe ndiyo hujaongozwa na roho mtakatifu kupata elimu zaidi, na biblia imeandika ukweli mtupu.

Ila haisasema hapa ndiyo mwisho wa kila kitu, ila yenyew ndiyo chanzo cha elimu zote maana kila walipoona msitari wa biblia waliutafutia chanzo na kuwa story kubwa, jamani tusiishi kwenye mabano ya mzungu tujifungue kama vipi[emoji3] [emoji3]
 
Yetu niyale ambayo ametufunulia ambayo hatujafunuliwa sio yetu wala tusihamgaike nayo maana hakuna awezae kuongeza limo cha urefu ulio nao. WEWE MKUBALI YESU KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAKO TU.
Nilitaka kuropoka nimeacha tu
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana![emoji22]
Ntakipataje hiko mkuu
 
Niliwahi kumwambia mtu mmoja kasoma hgl mpaka advance, mtu wavkwanza kuumbwa ni mmbatu, akanibishia nikampa sababu moja tu,

Watoto wote duniani wakianza kuongea maneno mama huita mama na lingine wanalofanana ni Dada, lingine wanalofanana ni tata, Kwahyo nikamwambia kati ya lugha moja ya kibantu ndiyo ilikuwa lugha ya Adam, maana had Leo haijajulikana kabila gan ilibaki na lugha ya Adam baada ya mgawanyo wa lugha pale Babylon.

Halafu jiulizeni sana EA kuna nini kila Kiongozi mkubwa duniani lazima akanyage kuna nini? Kumbuka fuvu la binadamu wa kale haikuwa Bahat mbaya.
 
Hapa hatujuani kihivo halafu hapa ni zaidi ya CHUO kikuu Yale hawagusi huu moto. We mwaga nondo
 
Vitabu vilivyopo ktk biblia vinatosha kabisa kukupeleka mbinguni maana vitakuongoza kumjua Mungu isipokuwa vichache vilivyoongezwa ktk biblia na kanisa Rc vitabu kama vile baruku, yoshua bin sira, tobithi n.k maana havina uhai ndani yake
Pamoja na vitabu vyote vya Paulo haviko kiroho yanini tufichane?
 
Kwahyo ni wazi kumbe agano jipya halina umuhimu, maana Yesu alitumia la kale, Halafu je alinukuu vitabu vyote???
 
Kwahyo ni wazi kumbe agano jipya halina umuhimu, maana Yesu alitumia la kale, Halafu je alinukuu vitabu vyote???
 
hivi na sisi wafrika tunaweza kuficha baadhi ya vitabu kwenye bible ili wazungu wasivione
 
Wale jamaa wakisema ukweli, wanakomaa kweli kweli, ila wakidanganya tu, wanakfundisha kuupuuzia ukweli, they are trying to be you after they have changed your thinking it something else!
 
Wale jamaa wakisema ukweli, wanakomaa kweli kweli, ila wakidanganya tu, wanakfundisha kuupuuzia ukweli, they are trying to be you after they have changed your thinking it something else!
...your thinking into something else..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…