Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Kanisa katoliki kipindi icho kanisa likiwa moja tu
inaonekana hujui hata Biblia. Kitabu cha Enoch kinahusianaje na Ukatoliki? Nyakati zinazozungmziwa ni za kipindi cha agano la kale na Wayahudi ndio waliopewa kuwa custodian wa Maandiko na hakukuwa na kanisa lolote muda huo.

Hicho kitabu hakikuwahi kuwa sehemu ya maandiko na kama ambavyo Safari ya Bulicheka hakijawahi kuwa sehemu ya Katiba ya Tanzania... Nukta!
 
Halafu kuna kitu nmeanza kuamini kwa kiasi chake kuwa...
watu weupe ni outcome ya hao wanefili/malaika waovu + wanadamu.

ndio maana watu weupe wengi wana akili za ziada za kuvumbua mambo kadha wa kadha...

pia ukiolewa ukazaa na mtu mweupe lazima mtoto awe anafanana na mtu mweupe.
mfano ; watu wa mabara ya Asia,Europe Amerca...

ndio maana ikitokea umechanganya mabwana ukichanganya na mimba ikawa ya mtu kutoka hayo mabara atazaliwa mtoto mweupe..
Asilimia 90% ya watu wanaozaa na white people watoto hufanania white people 100%.

Nafikiri ni kutokana na Damu yao kuwa na nguvu fulani ya ziada ndani ya Chimbuko lao.
 
Vipi una Idea yoyote na Apocripha books....both New Testament and Old...?
 
Le Mutuz uyu uyu ambae shati lake linafunika PASSO
 
na wala hakufa alipaa na mdada mmoja[/QUOTE]
Inaitwa Frankenstein
 
Vitabu vilivyopo ktk biblia vinatosha kabisa kukupeleka mbinguni maana vitakuongoza kumjua Mungu isipokuwa vichache vilivyoongezwa ktk biblia na kanisa Rc vitabu kama vile baruku, yoshua bin sira, tobithi n.k maana havina uhai ndani yake
 
Vipi una Idea yoyote na Apocripha books....both New Testament and Old...?
Yeah, sijajua exactly uko interested kwenye eneo gani, lakini kuna vitabu kati yake ni Historia nzuri sana na vinarekodi facts (mf. 1 Makabayo) na vingine fiksi nyingi kama Infancy Gospel of Thomas.

Lakini vina kitu kimoja vinafanana. Vyote sio sehemu ya Biblia (the Canon) ndio maana vina majina kama Apocrypha na wengine huita deutero-canonical books.

Nitapenda kufafanua hasa angle unayoitaka maana mada yenyewe ni pana sana!
 
Biblia mnayotumia katika dhehebu lako lina hicho kitabu?

Kama hakipo mnatumia Biblia gani na je imani yenu imekamilika kama mnatumia biblia isiyokamilika ?

Mwisho wa siku dini ya Kweli ni kuwajali wajane, Yatima ma Wagonjwa....
Endelea kuhangaika na wasaka sadaka.
 
Hivyo vitabu vyote, pamojana Biblia yenyewe, vina historia kidogo na hadithi nyingi, kwa hiyo usivichukulie seriously mpaka ufanye uchunguzi wa kina.
 
Acha uongo wewe. Yaani Enock na hao akina Luka na Matayo alitangulia nani? Yaani usimuamini Enock ukamuamini Luka ambaye kimsingi habari za Yesu kasimuliwa tu.
 
Sababu kuu ni kwanba wayahudi hawakua wakikitumia kama sehemu ya vitabu vyao vitakatifu.

So judeachristian wakaona tabu kukiunganisha katika bibilia.wakakiweka kama kitabu kilichofichwa apokrifa yaani hidden ama kanuni ya pili.
Hata hivyo kinAheshimika lakini hakitumiki kwa mafundisho.
 
Vitabu vilivyopo ktk biblia vinatosha kabisa kukupeleka mbinguni maana vitakuongoza kumjua Mungu isipokuwa vichache vilivyoongezwa ktk biblia na kanisa Rc vitabu kama vile baruku, yoshua bin sira, tobithi n.k maana havina uhai ndani yake
Kwatarifa yako Martin Luther ndiye aliyepunguza vitabu 7 vya Agano la kale......Upo dunia gani wewe...Au wewe ni Msabato nini....?
 
Asante
Mwambie kipo kwenye Google,
Akakakichukue atumie kanisani kwake wala haja katazwa.

Ni unafiki tu huo, ni sawa na wenzetu flani wanasema kuna kitabu cha Injiri ya Barnaba ndo cha kweli, lakini cha ajabu hawakitumii wao wenyewe.
 
Kuna hivi hapa vingne navyo vimeondololewa kwenye biblia.

-1 Esdras
-2 Esdras
-Tobit
-Judith
-The rest of Esther
-The wisdom of solmon
-Ecclesiasticus
-Baruch with the epistle Jeremiah
-The song of the 3 Holy children
-The history of Susan
-Bel and the Dragon
-The prayer for manesses
-1 Maccabees
-2 Maccabees

Ila dah hiki kitabu cha The wisdom of solmon kwa kweli kina confuse aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…