Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Kwanini kitabu cha Enoch kinapingwa vikali na Wanathiolojia?

Mimi kwa sasa ninafikiria kujikita zaidi kwenye kuheshimu tu zile amri kumi za Mungu na kuachana kabisa na kuumiza kichwa changu na simulizi zingine za kwenye biblia na pia maswali ambayo kwa kiasi kikubwa majibu yake yanategemea mtazamo wa mtu binafsi au imani ya dhehebu husika.
 
HAYA ANAYEJUA KUSOMA KIKRISTO ASOME HAPA NIMEKOPI UKURASA WA ENOCH UNAOHUSU HAO WAKINA LEMUTUZZ..

Mond
The introduction to the Book of Enoch tells us that Enoch is "a just man, whose eyes were opened by God so that he saw a vision of the Holy One in the heavens, which the sons of God showed to me, and from them I heard everything, and I knew what I saw, but [these things that I saw will] not [come to pass] for this generation, but for a generation that has yet to come."
It discusses God coming to Earth on Mount Sinai with His hosts to pass judgement on mankind. It also tells us about the luminaries rising and setting in the order and in their own time and never change.

Observe and see how (in the winter) all the trees seem as though they had withered and shed all their leaves, except fourteen trees, which do not lose their foliage but retain the old foliage from two to three years till the new comes.

How all things are ordained by God and take place in his own time. The sinners shall perish and the great and the good shall live on in light, joy and peace.
And all His works go on thus from year to year for ever, and all the tasks which they accomplish for Him, and their tasks change not, but according as God hath ordained so is it done.

The first section of the book depicts the interaction of the fallen angels with mankind; Sêmîazâz compels the other 199 fallen angels to take human wives to "beget us children".

And Semjâzâ, who was their leader, said unto them: "I fear ye will not indeed agree to do this deed, and I alone shall have to pay the penalty of a great sin." And they all answered him and said: "Let us all swear an oath, and all bind ourselves by mutual imprecations not to abandon this plan but to do this thing." Then sware they all together and bound themselves by mutual imprecations upon it.

And they were in all two hundred; who descended in the days of Jared on the summit of Mount Hermon, and they called it Mount Hermon, because they had sworn and bound themselves by mutual imprecations upon it.

The names of the leaders are given as "Samyaza (Shemyazaz), their leader, Araqiel, Râmêêl, Kokabiel, Tamiel, Ramiel, Dânêl, Chazaqiel, Baraqiel, Asael, Armaros, Batariel, Bezaliel, Ananiel, Zaqiel, Shamsiel, Satariel, Turiel, Yomiel, Sariel."

This results in the creation of the Nephilim (Genesis) or Anakim/Anak (Giants) as they are described in the book:

And they became pregnant, and they bare great giants, whose height was three hundred ells:[69] Who consumed all the acquisitions of men. And when men could no longer sustain them, the giants turned against them and devoured mankind. And they began to sin against birds, and beasts, and reptiles, and fish, and to devour one another's flesh, and drink the blood.
It also discusses the teaching of humans by the fallen angels, chiefly Azâzêl:

And Azâzêl taught men to make swords, and knives, and shields, and breastplates, and made known to them the metals of the earth and the art of working them, and bracelets, and ornaments, and the use of antimony, and the beautifying of the eyelids, and all kinds of costly stones, and all colouring tinctures. And there arose much godlessness, and they committed fornication, and they were led astray, and became corrupt in all their ways.

Semjâzâ taught enchantments, and root-cuttings, Armârôs the resolving of enchantments, Barâqîjâl, taught astrology, Kôkabêl the constellations, Ezêqêêl the knowledge of the clouds, Araqiêl the signs of the earth, Shamsiêl the signs of the sun, and Sariêl the course of the moon.

Michael, Uriel, Raphael, and Gabriel appeal to God to judge the inhabitants of the world and the fallen angels. Uriel is then sent by God to tell Noah of the coming cataclysm and what he needs to do.

Then said the Most High, the Holy and Great One spoke, and sent Uriel to the son of Lamech, and said to him: Go to Noah and tell him in my name "Hide thyself!" and reveal to him the end that is approaching: that the whole earth will be destroyed, and a deluge is about to come upon the whole earth, and will destroy all that is on it. And now instruct him that he may escape and his seed may be preserved for all the generations of the world.

God commands Raphael to imprison Azâzêl: the Lord said to Raphael: "Bind Azâzêl hand and foot, and cast him into the darkness: and make an opening in the desert, which is in Dûdâêl (God's Kettle/Crucible/Cauldron), and cast him therein. And place upon him rough and jagged rocks, and cover him with darkness, and let him abide there for ever, and cover his face that he may not see light.

And on the day of the great judgement he shall be cast into the fire. And heal the earth which the angels have corrupted, and proclaim the healing of the earth, that they may heal the plague, and that all the children of men may not perish through all the secret things that the Watchers have disclosed and have taught their sons.

And the whole earth has been corrupted through the works that were taught by Azâzêl: to him ascribe all sin."
God gave Gabriel instructions concerning the Nephilim and the imprisonment of the fallen angels:
And to Gabriel said the Lord: "Proceed against the biters and the reprobates, and against the children of fornication: and destroy [the children of fornication and] the children of the Watchers from amongst men [and cause them to go forth]: send them one against the other that they may destroy each other in battle ..."

Some,[citation needed] including R.H. Charles, suggest that "biters" should read "bastards", but the name is so unusual that some[citation needed] believe that the implication that is made by the reading of "biters" is more or less correct.

The Lord commands Michael to bind the fallen angels.

And the Lord said unto Michael: "Go, bind Semjâzâ and his associates who have united themselves with women so as to have defiled themselves with them in all their uncleanness. 12. And when their sons have slain one another, and they have seen the destruction of their beloved ones, bind them fast for seventy generations in the valleys of the earth, till the day of their judgement and of their consummation, till the judgement that is for ever and ever is consummated. 13.

In those days they shall be led off to the abyss of fire: (and) to the torment and the prison in which they shall be confined for ever. And whosoever shall be condemned and destroyed will from thenceforth be bound together with them to the end of all generations. ..."
Book of Parables
 
Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana![emoji22]
Hv unajua biblia imetokana na nini zamani vitabu vilikua separately ndo mtakatifu Jérôme akaviweka pamoja unaposema vitabu vimepunguzwa nashindwa kukuelewa
 
Yaliyomo kwenye Biblia hayakutoshi Mkuu mpaka unataka kupachika kisichokuwemo? Ukiona hivyo hicho kitabu si cha Biblical. Una haja nacho soma kwa faida yako.
 
Mkuu wengine tunataman kujifunZa hayo but hatujui tunaanzaje..
Dondosha nondo kamanda.
Yaani tu kwa mfano....

"Sisi" tuna mamlaka gani hapa duniani?

Wanaoweza kuamua ni kitabu kipi kiwepo kwenye maandiko yatakayoitwa matakatifu ni Papa,mkuu wa makanisa ya Anglikana,KKKT na makanisa mengine,makanisa yote haya wakuu wake ni Wazungu na hawapo hapa Afrika wapo huko,na hawa ndiyo hatari sana kwa usalama wa imani zetu.....

Wanaoweza kukubali kwamba jambo fulani la kiekolojia na tutakubali kwa shangwe ni hao hao Wazungu..

Wanoweza kukubali suala fulani ni hatari kwa afya na tutakubali kwa shangwe ni WHO,hawapo hapa Afrika...

Wanaoweza kukubali kuwa kuna maradhi yasiyotibika na tutakubali kwa shangwe ni hao hao...

Wanoweza kusema jambo fulani lina ushahidi kisayansina tukakubali kwa shangwe ni hao hao....

Wanaoweza kusema kusema kuwa angali kuna nini na tukakubali kwa shangwe ni hao hao....

Wanaoweza kusema jambo na likakubalika na tukasema "lina ushahidi" ni hao hao.....

Hawa hawa ambao tumewapa mamlaka yote haya kwenye maisha yetu ndiyo hao hao ambao wamekuwa wakitumaliza sana kwa kila takataka za sumu na bado tunaona sawa tu.Yaani sisi ni misukule haswa....

Leo wanatuambia tena huku wakituona ni wapuuzi wa kutupwa kuwa eti ushoga ni suala la kimaumbile tunashangilia tu....


Sisi tuko wapi? Tunaamua wapi na kwenye nini na kitu gani?
 
[quote uid=383510 name="ganja gal" post=21963463]Sio JACK THE GIANT kweli
<br />siyo iyo hayo majamaa yanafungiwa gerezani chini ardhini mwishoni jamaa anashuka kwenda kupigana nao yeye na malaika ili kuwatokomeza wasirudi duniani maana wataangamiza dunia katika hayo mapigano malaika karibia wote waliuawa akabaki mkubwa wa malaika alichokifanya ni kuangusha majengo yote ya iyo jela wakafa wote humohumo....... jack the giant haina tofauti na puss in boots[/QUOTE]
Anhaaa ileee
nmeiona mwaka huu But hata mimi jina sikumbuki
niliifuma kwa laptop ya mtu
kuna mfalme mmoja alimpika mdada kwenye ng'ombe wa shaba sijui[emoji23]
Halafu hao Gods walivoona watu wanataabika sana mmoja akaja duniani akatumbukia kwa maji likatokea kama sunami.

na hio nchi wanaishi mlimani
Mwishoni mwa hio battle ndio hao Gods wakaja,maana kuna mtu aliyapa nguvu yalemawatu. ilikua sad kuona Gods wanakufa, but sikuelewa maana ya ile movie
 
[quote uid=383510 name="ganja gal" post=21963463]Sio JACK THE GIANT kweli
<br />siyo iyo hayo majamaa yanafungiwa gerezani chini ardhini mwishoni jamaa anashuka kwenda kupigana nao yeye na malaika ili kuwatokomeza wasirudi duniani maana wataangamiza dunia katika hayo mapigano malaika karibia wote waliuawa akabaki mkubwa wa malaika alichokifanya ni kuangusha majengo yote ya iyo jela wakafa wote humohumo....... jack the giant haina tofauti na puss in boots[/QUOTE]
na wala hakufa alipaa na mdada mmoja
 
Kitabu kilitolewa katika huo mkusanyiko

Kimetolewa na nani?, nadhani haufahamu ni vipi vitabu vilikusanywa kuifanya hiyo Biblia, kama ungekuwa unaelewa wala usingekuwa unazungumza habari ya kitabu hicho kuwa kimenholewa
 
<br />siyo iyo hayo majamaa yanafungiwa gerezani chini ardhini mwishoni jamaa anashuka kwenda kupigana nao yeye na malaika ili kuwatokomeza wasirudi duniani maana wataangamiza dunia katika hayo mapigano malaika karibia wote waliuawa akabaki mkubwa wa malaika alichokifanya ni kuangusha majengo yote ya iyo jela wakafa wote humohumo....... jack the giant haina tofauti na puss in boots

Anhaaa ileee
nmeiona mwaka huu But hata mimi jina sikumbuki niliifuma kwa laptop ya mtu, kuna mfalme mmoja alimpika mdada kwenye ng'ombe wa shaba sijui[emoji23]

Halafu hao Gods walivoona watu wanataabika sana mmoja akaja duniani akatumbukia kwa maji likatokea kama sunami.

na hio nchi wanaishi mlimani
Mwishoni mwa hio battle ndio hao Gods wakaja,maana kuna mtu aliyapa nguvu yalemawatu. ilikua sad kuona Gods wanakufa, but sikuelewa maana ya ile movie[/QUOTE]
aiseeee umenikosha wew kumbe tupo pamoja sana[emoji2] [emoji2]
 
<br />siyo iyo hayo majamaa yanafungiwa gerezani chini ardhini mwishoni jamaa anashuka kwenda kupigana nao yeye na malaika ili kuwatokomeza wasirudi duniani maana wataangamiza dunia katika hayo mapigano malaika karibia wote waliuawa akabaki mkubwa wa malaika alichokifanya ni kuangusha majengo yote ya iyo jela wakafa wote humohumo....... jack the giant haina tofauti na puss in boots
na wala hakufa alipaa na mdada mmoja[/QUOTE]
kweli kabisaa aiseeee bonge moja la muvi huchoki kuitazama ile
 
Salam

Katika soma soma zangu na kutafuta ukweli na kumtafuta Mungu wa kweli nikagundua kuna vitabu viliondolewa kwenye biblia i.e non canonical books mfano ni book of Enoch na rest of Ester

Sababu zinazotolewa ni kwamba eti kina verses ambazo wao wanaamini hazikuongozwa na roho mtakatifu.

Nilichojifunza katika kitabu cha Enoch ni juu ya origin ya mtu mweupe (kina eleza Mungu aliumba mtu mweusi ila mtu mweupe alitokana na malaika wenye tamaa i.e fallen angels waliokuwa wakiwaingilia kimwili binadamu). Vile vile kinaeleza juu ya mpinga kristo na siku za mwisho.

Swali langu:
Nini kinachowafanya wajue kama ni hekima za binadamu ukilinganisha na vitabu vingine?

Ni kwanini kilitolewa ikiwa kama hekima za Enoch i.e great grandfather of Noah zilitambuliwa na kutajwa waziwazi na waandishi wa agano jipya mfano Jude?

The Book of Enoch is any of several pseudepigraphal (falsely attributed works, texts whose claimed authorship is unfounded) works that attribute themselves to Enoch, the great-grandfather of Noah; that is, Enoch son of Jared (Genesis 5:18). Enoch is also one of the two people in the Bible taken up to heaven without dying (the other being Elijah), as the Bible says "And Enoch walked with God, and he was not; for God took him." (Genesis 5:24; see also Hebrews 11:5). Most commonly, the phrase "Book of Enoch" refers to 1 Enoch, which is wholly extant only in the Ethiopic language.

The biblical book of Jude quotes from the Book of Enoch in verses 14-15, “Enoch, the seventh from Adam, prophesied about these men: ‘See, the Lord is coming with thousands upon thousands of his holy ones to judge everyone, and to convict all the ungodly of all the ungodly acts they have done in the ungodly way, and of all the harsh words ungodly sinners have spoken against him.’” But this does not mean the Book of Enoch is inspired by God and should be in the Bible.

Jude’s quote is not the only quote in the Bible from a non-biblical source. The Apostle Paul quotes Epimenides in Titus 1:12 but that does not mean we should give any additional authority to Epimenides’ writings. The same is true with Jude, verses 14-15. Jude quoting from the book of Enoch does not indicate the entire Book of Enoch is inspired, or even true. All it means is that particular verse is true. It is interesting to note that no scholars believe the Book of Enoch to have truly been written by the Enoch in the Bible. Enoch was seven generations from Adam, prior to the Flood (Genesis 5:1-24). Evidently, though, this was genuinely something that Enoch prophesied – or the Bible would not attribute it to him, “Enoch, the seventh from Adam, prophesied about these men…” (Jude 14). This saying of Enoch was evidently handed down by tradition, and eventually recorded in the Book of Enoch.

We should treat the Book of Enoch (and the other books like it) in the same manner we do the other Apocryphal writings. Some of what the Apocrypha says is true and correct, but at the same time, much of it is false and historically inaccurate. If you read these books, you have to treat them as interesting but fallible historical documents, not as the inspired, authoritative Word of God.
 
Back
Top Bottom