Amri kuu ni Upendo
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 789
- 489
Labda, lakini nimekisoma kitabu cha HENOKO kipo deep kuliko Genesis au hicho cha Thomas! Kwanini?Kuna bonge la kitabu lilitolewa pia lilikuwa linaitwa gospel of Thomas!....... Nafikiri hiki ndo kilikuwa kitabu bora kabisa katika bibilia!.....Sisi wanadamu hasa wa dini ya kikatoliki ni wabaya sana![emoji22]
Kwasababu ndicho kitabu pekee kinachofafanua event almost zote kuanzia za kwenye Genesis hadi Revelation. Yaani Enoch alioneshwa makubwa na siri nzito za Mungu ambazo hajapata mtume wala nabii mwingine yeyote katika biblia kuoneshwa.
Mfano, Enoch alielezwa kuhusu anguko malaika na impact yake kwa mwanadamu, chimbuko la maarifa makubwa na uchawi wote, waisrael kwenda utumwani misri, musa kuzaliwa na kuwakomboa waisrael kutoka misri, kuzaliwa kwa Nuhu na maangamizi ya Dunia kwa Gharika, kuja kwa manabii na mitume baadae, kuzaliwa kwa yesu na kazi zake, na hukumu ya siku ya Mwisho.
Zaidi ya hapo Henoko kafafanua wazi jinsi dunia, ulimwengu na vyote vilivyomo vilivyo vinavyo operate. Kwa ufupi katika kitabu hiki wazungu na wanasayansi wazushi wa NASA wanaumbuliwa kama ifuatavyo:
1.Dunia sio duara, ni tambarare na anga lake ndio mfuniko wake.
2. Jua sio kubwa Mara elfu moja ya dunia bali ni dogo sawasawa na umbo la mwezi.
3. Dunia haizunguki jua bali jua ndilo hufanya safari ya kuzunguka juu ya uso wa dunia sawasawa na mwezi.
4. Nyota zote pamoja na anga vinazunguka dunia katika nafasi zake asilia.
5. Jua sio nyota na kamwe nyota haziwahi kuwa jua; nyota ni nyota na jua ni jua!
6. Huko angani kuna kuna mianga kama nyota, jua, na mwezi tu. Hapa hamna kitu kinachoitwa sayari, nibiru, gallaxy, black hole, wala nini nini yaani!
Mwisho kitabu kimeeleza wazi watu asili waliumbwa na Mungu duniani walikuwa blacks na dark skinned people, even manabii wote akiwemo Henoko mwenyewe, walikuwa black lakini Nuhu alizaliwa akiwa Albino lakini kizazi chake kiliendelea kuwa blacks as usual!
7.Mwezi ni kitu transparent ambapo unaweza kuuona toka upande mmoja hata upande mwingine yaani ni kama kioo.
8. Zaidi ya kujaa na kuisha mwanga mwezi hauna cha ziada so sio object ambayo NASA wala yeyote ambae anaweza kutua au kutembea juu yake.
Mpaka hiki kitabu kina kila sababu ya kupingwa na Whites, kwa sababu wakikiafiki tu!
1. Uwezo wao wa kiakili hasa katika sayansi na technology hatutaushobokea tena kwakuwa tutajua sisi hatuna kwakuwa sisi sio mazalia ya fallen angels waliofall toka mbinguni na secret za mbinguni ambazo hazikupaswa kuletwa kwa binadamu kwakuwa zingemletea maangamivu kwa tunavyoshuhudia sasa, vita, magonjwa n.k
2.Propaganda za uwepo wa planets, galaxy, dunia duara, gravitational force, dunia linalozunguka na lijua na minyota iliyotuama, miuingo ya viumbe toka alien planets, kuwepo kwa black hole, kuwepo kwa libara lao la Antarctica na mi deception chungu itakuwa hadharani na itapingwa kwa ushahidi wa Kitabu cha Henoko ambacho kimefafanua KWELI NA KWELI TUPU.
3. Tutajua kwa hakika hakuna safari yoyote ya mwezini wala ku land kwenye mwezi wala sayari ambazo hazipo kama wanavyotupumbaza
So hata tulie vipi hawezi kukiruhusu kitabu hiki kiwekwe kwenye Biblia inayotumika kwani wanataka uongo wao tuuamini bila kuutilia shaka japo chembe.
NB:Ukipata muda ingia Google pakua kitabu kinaitwa BEYOND THE NORTH POLE ushangae kwamba dunia sio duara na haina mwisho kwakwenda pande zake zote nne.
Sent using Jamii Forums mobile app