Kwanini kuanzisha penzi jipya ni gharama namna hii?

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani.

Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili ya penzi jipya ni bora ningejibebea makulumbembe yangu ya kila siku
 
Mashine vipi, inalipa? Au umekutana na malapulapu ndiyo maana vilio vimekuwa vingi.
 
Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani.

Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili ya penzi jipya ni bora ningejibebea makulumbembe yangu ya kila siku
Jambo lolote jipya lina gharama za ziada.

Angalia hata unaponunua kitu kipya, bei huwezi linganisha na mtumba.

Hata ingelikuwa ni kuoa, ingelikugharimu pia, tofauti na kufakamia 'kulumbembe'.

Lakini nahisi kuna jambo umelimute hapo!

yaani ulipomvua umeenda kukutana na mazingira ambayo hayaendani na thamani ya gharama ulizotoa.

Jambo hilo hutia hasira kwa kila mwanaume, kutokana na kujenga over expectations kubwa sana kwa mhusika huyo, si wewe pekee ambaye limekutokea, huwa ni kwa wanaume wote.

Kuwa muwazi bhana!
 
Back
Top Bottom