Kama ulikuwepo ujinga ule siwezi rudiaJambo lolote jipya lina gharama za ziada.
Angalia hata unaponunua kitu kipya, bei huwezi linganisha na mtumba.
Hata ingelikuwa ni kuoa, ingelikugharimu pia, tofauti na kufakamia 'kulumbembe'.
Lakini nahisi kuna jambo umelimute hapo!
yaani ulipomvua umeenda kukutana na mazingira ambayo hayaendani na thamani ya gharama ulizotoa.
Jambo hilo hutia hasira kwa kila mwanaume, kutokana na kujenga over expectations kubwa sana kwa mhusika huyo, si wewe pekee ambaye limekutokea, huwa ni kwa wanaume wote.
Kuwa muwazi bhana!
Kwanza ukioa ndipo ashiki zinaongezeka na kunyimwa kupo pale paleOeni mtulie ndani.
Siku yaja na utakuja kuona ashki ni kitu kibaya.
Ukiishinda ashki basi uko karibu sana kufanikiwa kimaisha.
HahahaUmepiga kwenye mshono. Nafanya tathmini nimepigwa bei gani
Ni mchezo wa pata potea, yalimo sirini mpaka ukiingia ndipo unashuhudia uozo uliokuwa unauhangaikia.Hii kitu inauma sana
Pole sana yanawakuta mengi aiseeeNi mchezo wa pata potea, yalimo sirini mpaka ukiingia ndipo unashuhudia uozo uliokuwa unauhangaikia.
Ngoma mbovu isiyo na ladha, ukute pia ni chafu haijanyolewa plus kiharufu imagine wasting your time, energy, effort and resources.
Pole sana, that's the real meaning of learning through the hard way.
Akili zimekurudia baada ya nyegezi zako kuisha.Usijali.Umejifunza kwa njia ngumu.Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani.
Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili ya penzi jipya ni bora ningejibebea makulumbembe yangu ya kila siku
Ahaaa kumbe huongelei muonekanoDemu wa kawaida ni brek mbupu and the vice versa is true
Pole 😢Inauma sana