Kwanini kuanzisha penzi jipya ni gharama namna hii?

Kama ulikuwepo ujinga ule siwezi rudia
 
Oeni mtulie ndani.


Siku yaja na utakuja kuona ashki ni kitu kibaya.

Ukiishinda ashki basi uko karibu sana kufanikiwa kimaisha.
Kwanza ukioa ndipo ashiki zinaongezeka na kunyimwa kupo pale pale
 
Wapiga Nyeto sometimes wana hoja za msingi sana..

Kutumia hela kwenye Ngono kuna raha yake na shida zake..

Pesa unayopeleka huko, hakikisha haikuwa ktk plan zako, haipo ktk budget yako yaani ni hela ambayo imetokea tu kama bahati mbaya..

Easy come Easy Go.. hela uliyoitolea jasho usiipeleke kwenye mambo ya kipumbavu.
 
Hii kitu inauma sana
Ni mchezo wa pata potea, yalimo sirini mpaka ukiingia ndipo unashuhudia uozo uliokuwa unauhangaikia.
Ngoma mbovu isiyo na ladha, ukute pia ni chafu haijanyolewa plus kiharufu imagine wasting your time, energy, effort and resources.
Pole sana, that's the real meaning of learning through the hard way.
 
Pole sana yanawakuta mengi aiseee
 
Akili zimekurudia baada ya nyegezi zako kuisha.Usijali.Umejifunza kwa njia ngumu.
 
Demu wa kawaida ni brek mbupu and the vice versa is true
Ahaaa kumbe huongelei muonekano
Umekuta gari imesoma kilometer nyingi😅😅

Pole nahisi maumivu yako na ukute alikutegea kama bakuli unawe😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…