Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

Changer 22

Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
11
Reaction score
5
Nimetafakari sana juu ya hali ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika kampuni na mashirika mengi yanayoendeshwa na Wahindi na kugundua kuwa kuna vitu havipo sawa, hasa kwenye ngazi za kiutendaji.

Kuanzia kariakoo mpaka sehemu nyingine nchini asilimia kubwa ya wafanyakazi huwa hawapewi mikataba yao kwa wakati, mazingira ya utendaji kazi kwao ni magumu na vikwazo vingi ambavyo humfanya mtu ashindwe kufanya kazi.

Uchunguzi juu ya hali ya wafanyakazi katika kampuni na mashirika yanayoendeshwa na wahindi uchunguze hali ya wafanyakazi hasa wazawa. Siyo wote wana tabia za kuwanyanyasa wafanya kazi ila idadi kubwa sana hunyanyaswa kwa matamshi yasiyofaa kutoka kwa waajiri wao.
 
Back
Top Bottom