Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

Risk ya biashara hapa kwetu ni kubwa kuliko kujenga nyumba..

biashara hazitabiriki hapa nchini so bora ujenge tu ujue pesa umeizika..
Hakuna risk kwenye biashara unayoifahamu zaidi ya miaka saba ni kipindi ambacho mtaji unao kazi kwako tu kukusanya faida maradufu na sio kuzika pesa kwenye ujenzi wa nyumba ya kuishi
 
Wengi watakubeza na wachache sana watakuelewa. Wabongo wengi wanajenga vibanda wanavyoita nyumba na wanaishi maisha duni sana sababu ya kukosa akili na kufikiria mambo kwa mkumbo.
 
Hakuna sela ya serikali na makazi ya kuwajengea.
Unategemea nini sasa
 
Kuna wakati maisha huyumba, kwa bahati mbaya yanaweza kuyumba ukiwa mtu mzima una watoto na mke alafu mwenye nyumba anataka kodi yake ukiikosa unatolewa vyombo nje.

Sasa tafakari wewe na familia yako mnatolewa vyombo nje. Piga picha hyo kichwani kwako
Unaweza kulia kama mtoto
 
Nyumba ni asset pia na wengi wana ndoto za kuishi kwenye nyumba zao kuepuka usumbufu wa kodi masharti ya wenye nyumba zao
Nyumba ya kukaa wewe kwenye economics ni asset ila in real sense nyumba ya kukaa si aset, sababu in real sense anything that puts money in your pocket ndio asset kama it takes money out of your pocket sio asset... Frame za biashara nyumba za kupangisha ndio asset hizi za kukaa unalipa kodi ya jengo, ardhi, umeme na maji wakati yenyewe haizalish kitu hapa ni tatizo tu na lenyewe
 
Kapimwe mkojo
 
Chai
 
Muacheni huyu mtoto na Uzi wake

Hivi uendeshe gari miaka 15 et unataka weka fedha ununue lori lako😁 hivi unajua mileage huwa wanalipwaga sh ngapi?

Wakati huo labda una mtoto wa miaka 15 ambae anaweza kuwa form 3 na mwengne labda 11yrs jinsia tofauti , we bado umepanga🤔 wanalala wapi hao WATOTO?
Ukifa msiba unafunga turubai wapi hizi nyumba za mjini za kupanga


Yani huyu jamaa anaishi bure Hana WATOTO Hana anachowaza toka unapoishi ukajitegemee
 

Uko na akili sana. Enzi za sifa kujenga zishaishaga kwa wazee wetu. Ukiwa na constant cash flows mbona nyumba unajenga mda mfupi sana.
 
Kama nilikuwa nalipa Kodi 200,000/= nikajenga. Halafu gharama ya mwezi kuanzia maji, umeme haizidi 50,000/=

Hapo Nyumba inageuka Asset au Liability?
 
Hata usipojenga hakikisha unaiendeleza ardhi yako ili kuilinda dhidi ya wavamizi. Weka fensi au hata msingi ili kupunguza risk ya kudhulumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…