Kwanini kujenga nyumba imekuwa ni fashion kwa Watanzania?

Tulikuw tunazungumzia nyumba. Hapo juu kuna mtu kasema nyumba sio asset ni Liabilities
Wanazungumzia nyumba yako ya kuishi. Wenyewe wanasema sio asset kwasababu haikuingizii hela bali ni liability kwasababu inakutoa hela(ukarabati kodi ya kiwanja etc). Nyumba yako ambayo umeweka wapangaji ni asset kwasababu inakuingizia pesa.
 
Inchi zilizoendelea,kumiliki nyumba za kupangisha inaweza kuwa liability,maana wao Wana wale property manager s,Kuna maintainance ya nyumba ambayo sisi huku maintaince kubwa ni kuzibua choo tu kwa nyumba za uswazi na usipo endana na standard zao fine zinakuhusu
 
Mnazungumza vitu viwili tofaut. Which is which
 
Za kuambiwa changanya na zako. Estate manager, taxes,renovations etc ni running costs kama kwenye biashara nyingine tu ila mwisho wa siku unapata faida ndio kinachoifanya nyumba ya kupangisha an asset.
 
Asante kwa kufafanua nilitamani nielezee hivyo
 
Za kuambiwa changanya na zako. Estate manager, taxes,renovations etc ni running costs kama kwenye biashara nyingine tu ila mwisho wa siku unapata faida ndio kinachoifanya nyumba ya kupangisha an asset.
What if I pay rent to myself ?
 
Ati zungusha hela kwanza? Unaweza zungusha hiyo hela ikazama ukakosa nyumba na biashara pia, jenga ukipata vijisenti kisha utakuza biashara ukiwa kwako
 
Wanazungumzia nyumba yako ya kuishi. Wenyewe wanasema sio asset kwasababu haikuingizii hela bali ni liability kwasababu inakutoa hela(ukarabati kodi ya kiwanja etc). Nyumba yako ambayo umeweka wapangaji ni asset kwasababu inakuingizia pesa.
Umenena vema

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
NYUMBA YA KUISHI SIO ASSET

ASSET~ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.

LIABILITY~ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako.
Ukitaka kuwa tajiri hiki ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi.

Matajiri wote wananunua Assets lakini Masikini na wenye wenye maisha ya saizi ya kati wananunua Liabilities wanazodhani kuwa ni Assets.

Watu wengi ukiwauliza una Asset gan unayomiliki atakutajia vitu kama nyumba, gari, simu, laptop, duka.

Ni sawa kama tu hivyo vitu vinakuingizia pesa, lakini kama havikuingizii chochote hivyo sio Assets bali ni Liabilities.

Hebu tuangalie nyumba
Kama una nyumba yako ya kuishi mwenyewe hiyo ni Liability kubwa sana maana haikuingizii hata mia badala yake inakutolea pesa utalipa umeme, maji, ukarabati na malekebisho ya vitasa, taa, furniture n.k. Hayo yoote yanatoa pesa mfukoni.

Lakini kama nyumba umepangisha hiyo ni Asset. Gari kama unaitumia kwa matumizi yako binafsi ya kila siku hiyo ni Liability kubwa itahitaji mafuta, service na kama umenunua kwa mkopo wa Bank ndio balaa zaidi, ila kama ni la biashara hiyo ni Asset.

Simu ambayo haikuingizii pesa yoyote zaidi ya kukumalizia vocha na kuishia kuchat hiyo ni Liability, Tv na radio hata duka pia, maana siku umelifunga huingizi chochote, matumizi yoote unategemea dukani, badala ya duka kukupa faida, unachukua mshahara unaongeza mtaji.

Wasomi wengi walioajiriwa wanakufa masikini kwasababu mishahara yao na mikopo wanayochukua inaishia kununua liabilities kama furniture, TV, radio, simu kubwa, gari, fridge, nguo, viatu, badala ya Asset ambazo zingewaingizia pesa zingine, mwisho wanaishia kuuza liabilities zao na kubaki masikini kabisa.

Watu wengi wanadhani wakiongezewa mshahara wata tatua matatizo yao, badala yake matatizo yanaongezeka maana mshahara (Income) ukiongezeka, matumizi (Expenses) pia yanaongezeka hivyo kuongeza column ya Liabilities. Na hii yote ni kwasababu hatufundishwi elimu ya pesa darasani.

Matajiri woote wana kuza upande wa kipato (Income) na kupunguza upande wa matumizi (Expenses) kwa kununua Assets nyingi na kupunguza Liabilities, wananunua Luxuries kama gari, tv ,simu kubwa pale tu Assets au vitu walivyowekeza vinapowapatia faida, hivyo faida ndio inanunua magari, nyumba, TV n.k,

Ndio maana wanasema siri ya utajiri ni ubahili, lakini watu wengine kadri kipato kinapoongezeka na matumizi yanaongezeka. Kama unataka kua tajiri lazima ujue pia maana halisi ya neno utajiri(Wealth).

WEALTH~ Is a person's ability to survive so many numbers of days toward, or if you stopped working today, how long could you survive?
Maana yake kama leo utaacha kufanya kazi ambazo zinakuingizia kipato una uwezo wa kuendelea kuishi kwa muda gani?

Ukiona ukiacha kufanya kazi huna uwezo wa kumudu mahitaji ya kila siku kwa muda hata wa mwaka mmoja ujue wewe bado huna Mali(wealth) maana huna Assets zinazoweza kukuingizia kipato cha kuweza kukufanya uendelee kuishi pindi uachapo kazi.
 
Nenda leo bara barani uangalie magari yaliyokuwepo bara barani mwaka 2000 kama bado yapo.
Zunguka tena mtaani uangalie nyumba zilizojengwa mwaka huo huo wa 2000 uone kama bado zipo.
Nadhani ukifanya hii assignment jibu utalipata.
 
Huwa nashangaa sana watu kutokea mfano wa wahindi![emoji276]wahindi wajenge Tanzania kwani ni kwao!?
wengi ni wajanja wale hawafanyi investments kwenye nchi za dunia ya tatu, fedha au vitega uchumi wanapeleka nchi za Ulaya au Marekani
 
Nimekuelewa sana mtoa MADA tena sana, Nafikiria kujenga nyumba

sio yangu ya kuishi bali ya wapangaji nyumba nitakayopokea kodi 1m kwa mwezi (Kwa mpangaji 1)

ni appartments zilizo katika mpangilio nikiwa nalenga wapangaji "PRO MAX only"

usiniletee habari za kujenga nyumba yangu ya kuishi,BADO sanaa yani BADO sanaaa

kuna shida gani nikiishi nyumba nalipa kodi 1m naishi na familia yangu sehemu rafiki kwa

familia mpk biashara zangu? Imarika kiuchumi ndipo ukimbilie kujenga nyumba ya kuishi

Uchumi wako ukiwa imara utaweza jenga nyumba ya ndoto zako na sio nyumba za kujihifadhi.

Nitajenga sana sana sana lakini Only kwa ajili ya biashara si makazi yangu, Asee mimi ntaishi kwenye

majumba ya watu mpaka wakome,kwanza utajua kama nimepanga? ukija utahisi kwangu Tu labda nikwambie hapa nimepanga....

Mtoa MADA lengo lako ni zuri kama wakielewa mzizi wa uzi wako,Uko sahihi na nakuunga mkono kwa 100%
 
Ukikutana na mtu aliesomea Mambo ya Uhasibu,atakwambia kuwa asset,nikitu ambacho unakimiliki na kinakuingizia pesa
Lakini pia Asset ni kitu kinachokupunguzia deni( Cash outflow).

Kiuhasibu kumiliki Asset ni liability kwa sababu tunaingiza vitu kama Running cost, maintainace cost, Insurance, Tax.

Ila ukienda deep haipo hivyo
 
Huwa nashangaa sana watu kutokea mfano wa wahindi![emoji276]wahindi wajenge Tanzania kwani ni kwao!?
Hivi ni nani kakwambia Wahindi hawajengi/hawanunui nyumba Tz? Wahindi sasa hivi zile apartment nyingi mpya za mjini ni zao. Wahindi wana nyumba nyingi Masaki na Oysterbay. Tofauti yetu na Wahindi ni kwamba huwezi kukuta mhindi anapata 50m ya kwanza anakimbilia kujenga huko Kongowe sijui Tuangoma nk.
 
NYUMBA YA KUISHI SIO ASSET

ASSET~ni kitu chochote kinacho kuingizia pesa mfukoni uwepo au usiwepo.

LIABILITY~ni kitu kinachotoa pesa mfukoni kwako.
Ukitaka kuwa tajiri hiki ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi.

Matajiri wote wananunua Assets lakini Masikini na wenye wenye maisha ya saizi ya kati wananunua Liabilities wanazodhani kuwa ni Assets.

Watu wengi ukiwauliza una Asset gan unayomiliki atakutajia vitu kama nyumba, gari, simu, laptop, duka.

Ni sawa kama tu hivyo vitu vinakuingizia pesa, lakini kama havikuingizii chochote hivyo sio Assets bali ni Liabilities.

Hebu tuangalie nyumba
Kama una nyumba yako ya kuishi mwenyewe hiyo ni Liability kubwa sana maana haikuingizii hata mia badala yake inakutolea pesa utalipa umeme, maji, ukarabati na malekebisho ya vitasa, taa, furniture n.k. Hayo yoote yanatoa pesa mfukoni.

Lakini kama nyumba umepangisha hiyo ni Asset. Gari kama unaitumia kwa matumizi yako binafsi ya kila siku hiyo ni Liability kubwa itahitaji mafuta, service na kama umenunua kwa mkopo wa Bank ndio balaa zaidi, ila kama ni la biashara hiyo ni Asset.

Simu ambayo haikuingizii pesa yoyote zaidi ya kukumalizia vocha na kuishia kuchat hiyo ni Liability, Tv na radio hata duka pia, maana siku umelifunga huingizi chochote, matumizi yoote unategemea dukani, badala ya duka kukupa faida, unachukua mshahara unaongeza mtaji.

Wasomi wengi walioajiriwa wanakufa masikini kwasababu mishahara yao na mikopo wanayochukua inaishia kununua liabilities kama furniture, TV, radio, simu kubwa, gari, fridge, nguo, viatu, badala ya Asset ambazo zingewaingizia pesa zingine, mwisho wanaishia kuuza liabilities zao na kubaki masikini kabisa.

Watu wengi wanadhani wakiongezewa mshahara wata tatua matatizo yao, badala yake matatizo yanaongezeka maana mshahara (Income) ukiongezeka, matumizi (Expenses) pia yanaongezeka hivyo kuongeza column ya Liabilities. Na hii yote ni kwasababu hatufundishwi elimu ya pesa darasani.

Matajiri woote wana kuza upande wa kipato (Income) na kupunguza upande wa matumizi (Expenses) kwa kununua Assets nyingi na kupunguza Liabilities, wananunua Luxuries kama gari, tv ,simu kubwa pale tu Assets au vitu walivyowekeza vinapowapatia faida, hivyo faida ndio inanunua magari, nyumba, TV n.k,

Ndio maana wanasema siri ya utajiri ni ubahili, lakini watu wengine kadri kipato kinapoongezeka na matumizi yanaongezeka. Kama unataka kua tajiri lazima ujue pia maana halisi ya neno utajiri(Wealth).

WEALTH~ Is a person's ability to survive so many numbers of days toward, or if you stopped working today, how long could you survive?
Maana yake kama leo utaacha kufanya kazi ambazo zinakuingizia kipato una uwezo wa kuendelea kuishi kwa muda gani?

Ukiona ukiacha kufanya kazi huna uwezo wa kumudu mahitaji ya kila siku kwa muda hata wa mwaka mmoja ujue wewe bado huna Mali(wealth) maana huna Assets zinazoweza kukuingizia kipato cha kuweza kukufanya uendelee kuishi pindi uachapo kazi.
pumba.
 
Back
Top Bottom