let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Tanzania inahitaji kujenga facilities nyingi za magonjwa ya akili kuliko shule.
Hii nchi inamajitu majinga sana.
Hii nchi inamajitu majinga sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka hapo kwenu
Duh umejilipua kuishi uswahili maana manzese ni uswazi jamani kaaahNimenunua nyumba mbili nikavunja. Moja nimejenga nikamaliza Naishi na familia. Nyingine bado sijamaliza nishaezeka bado finishing tu ila plasta nimepiga na wiring nusu. Why umeuliza Manzese kama kuna viwanja?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Jenga wewe acha kujipa moyo huku unakaa kwenye nyumba ya mwanaume mwenzako hata akiamua kukutoa ndani na boksa anakutoa
Uswahili utake mwenyew niko ndani ya fence na mambo yangu. Ukitaka kufatilia ya nje lazima upate kaz. Alafu mbona kuzuri nyumba yangu iko Road near SinzaDuh umejilipua kuishi uswahili maana manzese ni uswazi jamani kaaah
Nyumba za kupanga Ni manyanyaso Sana,,Na siku mkeo atakapopigwa pu*mb na kashikaji fulani humohumo kwenye kachumba kako kamoja, ndio utajua kuwa watu hawatakiwi kujenga kwa kuogopa kupigiwa wake zao.
Hiyo haiwezi kuwa sababu makini ya kwanini mtu ajenge.
Changamoto yako(siyo tatizo)una mawazo ya Kihindi.Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale
Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia ufanyaji kazi bado wa kusubiri hela advance kwa mteja hafikirii kabisa kuwa na store kubwa utakayotoa faida kubwa zaidi kwa haraka zaidi kutokana na uzoefu wake.
Unakutana na dereva yeye miaka na miaka anaendesha gari za watu anakuja na habari njema amejenga ni vyema lakini kwanini asikilie kumiliki gari yake.
Unakutana na kijana kinyozi ana uzoefu wa miaka saba anakuambia nimejenga vyumba vitatu nataka nihamie kwangu ni jambo jema lakini hafikirii kama pesa hizo kama angetumia kufungua barbershop kubwa ambayo ingempa faida maradufu
Nyumba ni uchumi... Kwa sisi tuliozaliwa DSM Kwa mfano Sinza miaka ya 80's ilikuwa mashamba ya mpunga na mtu angeweza kupata eneo kirahisi. Leo kiwanja ni milioni 300-500.Mmekuja na mihemko lakini point yangu ya msingi ilikuwa ni kwamba kwanini watu wanawaza kuanza kujenga kabla hawajamiliki uchumi mkubwa
Mkuii nimeyafanya hvyo early 2015 HV ningejuwa ningejenga kuliko Sasa HV ndio napambna kujenga kwa expensive kubwaMmekuja na mihemko lakini point yangu ya msingi ilikuwa ni kwamba kwanini watu wanawaza kuanza kujenga kabla hawajamiliki uchumi mkubwa
Kosa kubwa Sana hakikisha tafuta kiwanjaWabongo wanapenda sana kujenga, kwao kujenga ndo mafanikio...kuna ndugu yangu majuzi ananishauri nijenge hata chumba na sebule, nikajisemea huyu mzima kweli ..sina kitega uchumi chochote cha maana naanzaje kujenga?
Majuzi zaidi ya 20m nimewekeza kwenye biashara ila ndo hivyo hata kiwanja sina [emoji3].
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Siyo fixed assets Ni fixed liabilitiesBinafsi nimejenga nyumba mbili Manzese. Na nimewekeza kwenye vitu vichache naelewa sana faida ya kuwa na fixed assets..
Asset is something you own. Kama ningekuwa nimepanga au nimenunua kwa mkopo nadhani ingekuwa liability. .Siyo fixed assets Ni fixed liabilities
MhAsset is something you own. Kama ningekuwa nimepanga au nimenunua kwa mkopo nadhani ingekuwa liability. .
Very interesting discussion 👍 👌
What?
Ukikutana na mtu aliesomea Mambo ya Uhasibu,atakwambia kuwa asset,nikitu ambacho unakimiliki na kinakuingizia pesaWhat?
Nyumba inaweza kuwa assets na inewza kuwa liabilities. Inategemea na scenarioUkikutana na mtu aliesomea Mambo ya Uhasibu,atakwambia kuwa asset,nikitu ambacho unakimiliki na kinakuingizia pesa