Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Unakimbia mpambano wa hoja kwa sababu huna hoja.Kwaheri. Umekataa kukubaliana kutofautiana kwa heshima kwa hiyo najitoa katika mjadala na wewe. Unataka ubishani, sio mjadala. Kwaheri isio ya kuonana.
Amandla...
Unalazimisha Mwenyekiti Mao aendelee kutawala kwa mkono wa chuma wakati yeye mwenyewe kasema hata familia yake mwenyewe imemkataza.
Waafrika wengi mnapenda madaraka kuliko mnavyoheshimu familia zenu.
Ile kauli ya kwamba familia yake imemkataza kugombea uenyekiti tu inatosha kum disqualify Mbowe kwenye uongozi. Akigombea anakuwa kashaivunjia heshima familia yake mwenyewe.
Na wewe unajifanya unamjua Mbowe kuliko familia yake.
Absolute rubbish.