Kwanini kuna juhudi kubwa za kuhakikisha kuwa Mbowe haendelei kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Kwaheri. Umekataa kukubaliana kutofautiana kwa heshima kwa hiyo najitoa katika mjadala na wewe. Unataka ubishani, sio mjadala. Kwaheri isio ya kuonana.

Amandla...
Unakimbia mpambano wa hoja kwa sababu huna hoja.

Unalazimisha Mwenyekiti Mao aendelee kutawala kwa mkono wa chuma wakati yeye mwenyewe kasema hata familia yake mwenyewe imemkataza.

Waafrika wengi mnapenda madaraka kuliko mnavyoheshimu familia zenu.

Ile kauli ya kwamba familia yake imemkataza kugombea uenyekiti tu inatosha kum disqualify Mbowe kwenye uongozi. Akigombea anakuwa kashaivunjia heshima familia yake mwenyewe.

Na wewe unajifanya unamjua Mbowe kuliko familia yake.

Absolute rubbish.
 
Swali hili lingekuwa hivi:

Kwa nini kuna juhudi kubwa sana za kuhakikisha Mbowe anaendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA?​

Naongeza swali hapo kwanini kwa mara ya kwanza hadi makada wa CCM wamejitokeza kutaka Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wakati mwanzo walimuita Mugabe?
 
Utabiri wangu ni kuwa Lissu atajitoa uchaguzi utakapokaribia lakini hata mu endorse Mbowe kuwa Mwenyekiti. Atadai anajitoa kwa sababu zifuatazo:
1.Kuepusha mpasuko ndani ya chama.
2. Kuongoza juhudi za Mob Mobilisation.
3. Kuunganisha nguvu za chama chake katika kuhakikisha kinapata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu wa 2050.
4. Itamuwezesha ku focus kwenye kugombea urais wa JMT.

Kama atafanya hivi atakuwa amemkona Mwenyekiti asiweze kumchukulia hatua yeyote. Kwa vyovyote vile itabidi ahakikishe kuwa anaendelea kuwa mjumbe wa Kamati Kuu. Itampa pia nafasi ya kujitayarisha kugombea Uenyekiti 2030 kwa kushughulikia zile ambazo zimeonekana kwa baadhi yetu kuwa ni dosari zake. Itamuweka pia katika nafasi nzuri sana ya kuwa Mwenyekiti 2030 kwa sababu kwa vyovyote vile Mbowe itabidi ang'atuke kama alivyo ahidi. Ville vile atajijengea heshima zaidi kuwa ameweka maslahi ya chama mbele ya personal ambitions zake.

Amandla...

Nguruvi3
 
Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma.

Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika sasa hivi kwa kiasi kikubwa haijafanikiwa.

Wanaamini hii ni kwa sababu Mbowe hawezi kumudu tactics ambazo ni aggresive na confrontational za wakati huo. Na chachu ya tactics hizo itatokana nje ya taratibu za kawaida kama tulivyoona vijana wa nchi jirani walivyotumia tik tok n.k.

Mambo haya yote hayaendani na hulka ya Mbowe ambayo kwa kiasi fulani ni ya traditional politics. Hawa walihitaji kiongozi ambae hana uvumilivu kama wao. Kiongozi ambae yuko tayari kwenda "mano a mano" na serikali bila kujali consequences.

Kwa mtazamo wao Lissu ndio kiongozi anaewafaa. Kwa sababu walimwona Mbowe kama kizingiti kwao wakatumia tactics za kumuaibisha na kumbeza ili aone hahitaji hizo fedheha ajitoe. Bahati mbaya kwao walikuwa hawajamsoma Mbowe vizuri. Hawakujua tactics hizo ndio zitamfanya aone chama chake kinataka kuwa hijacked kihuni.

Kitu vingine ambacho hawakuzingatia ni kuwa watanzania wengi hawapendi confrontation na hivyo kuna uwezekano mdogo wa wao kujitokeza kwa wingi kujiunga nao. Kingine ni kuwa tactic kama hizi hazileti matokeo ya kudumu na mara nyingi zinakuwa hijacked na wana siasa na kufa kifo cha kimya kimya. Tumeona Kenya. Tumeona Malawi. Hata Tunisia na Misri.

Ubaya mwingine ni kuwa ni vigumu ku control ili vurugu zisitawale. Picha za vijana wakiwa wana warushia mawe hazina tija.

Amandla...
Kwanza hakuna juhudi zooote za kumweka Mbowe pembeni bali Mbowe mwenyewe kwa ujinga wake ndiyo kayataka haya ya sasa, kwani hapo kabla ya uchaguzi walikaa kikao wakakubaliana kuwa mbowe agombee uenyekiti na Lisu agombee umakamu mwenyekiti, lakini wakati wakisubiria mda ufike mbowe akawa ameanza kumhujumu Lisu chini chini akamtuma wenje wakampe pesa ili wamshushe kisiasa, akaon haitoshi akamhujumu Heche ambaye ni rafiki mkubwa wa Lisu, akaona haitoshi akawatuma mdee bonface kumchafua Lisu kila kona,huku Wenje na wengine wakipandikizwa na mbowe kugombea makamu mwenyekiti lakini wakiwa ni watu ambao wapo kimkakati wa mbowe mwenyewe, Lisu alipobaini njama zote za mbowe kupitia chawa wa mbowe ambao hawapendi uonevu na hujuma za mbowe ndipo Lisu akaamua sasa kugombea Uenyekiti ili kumuonyesha Mbowe kuwa amebaini njama zake zote na sasa ngoja amuonyeshe siasa inavyotakiwa kwenda kisitaarabu kwani mbowe ni Dikteta na mchoyo mroho wa madaraka na pesa za chama
 
Mbowe asingekuwa kamfanyia fitina mbalimbali Lisu za kumdhoofisha kisiasa leo hii Lisu asingekuwa anagombea uenyekiti kila mmoja angekuwa yupo alipokuwa awali, hivyo haya ya sasa mbowe kajitakia mwenyewe hakuna juhudi zozote za kuhangaika na mbowe kwani anayetumia pesa nyingi kununua uenyekiti ni mbowe wale wabunge haramu 19 ambao ni Timu Mbowe wanapita kila kona kugawa pesa kwa Wajumbe hivyo Mbowe kajitakia mwenyewe gharama anazotumia sasa kununua uenyekiti
 
Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma.

Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika sasa hivi kwa kiasi kikubwa haijafanikiwa.

Wanaamini hii ni kwa sababu Mbowe hawezi kumudu tactics ambazo ni aggresive na confrontational za wakati huo. Na chachu ya tactics hizo itatokana nje ya taratibu za kawaida kama tulivyoona vijana wa nchi jirani walivyotumia tik tok n.k.

Mambo haya yote hayaendani na hulka ya Mbowe ambayo kwa kiasi fulani ni ya traditional politics. Hawa walihitaji kiongozi ambae hana uvumilivu kama wao. Kiongozi ambae yuko tayari kwenda "mano a mano" na serikali bila kujali consequences.

Kwa mtazamo wao Lissu ndio kiongozi anaewafaa. Kwa sababu walimwona Mbowe kama kizingiti kwao wakatumia tactics za kumuaibisha na kumbeza ili aone hahitaji hizo fedheha ajitoe. Bahati mbaya kwao walikuwa hawajamsoma Mbowe vizuri. Hawakujua tactics hizo ndio zitamfanya aone chama chake kinataka kuwa hijacked kihuni.

Kitu vingine ambacho hawakuzingatia ni kuwa watanzania wengi hawapendi confrontation na hivyo kuna uwezekano mdogo wa wao kujitokeza kwa wingi kujiunga nao. Kingine ni kuwa tactic kama hizi hazileti matokeo ya kudumu na mara nyingi zinakuwa hijacked na wana siasa na kufa kifo cha kimya kimya. Tumeona Kenya. Tumeona Malawi. Hata Tunisia na Misri.

Ubaya mwingine ni kuwa ni vigumu ku control ili vurugu zisitawale. Picha za vijana wakiwa wana warushia mawe hazina tija.

Amandla...
Nilikuwa nimejiandaankusoma makala ndefu, kumbe na wewe ni mwandishi wa paragraph mojantu
 
Lisu alishasema kuwa yeye anajua uchaguzi una kushinda au kushindwa na hata akishindwa yeye atabakia kuwa mwanachama wa kawaida na kuwa huru afanye kazi zake binafsi za kisheria, Lisu haogopi hatua zozote za mwenyekiti hata akimfukuza hajali kwani yeye ni msomi nje ya siasa ataishi vizuri kwani zipo taasisi nyingi za kimataifa zinamhitaji na hata akifukuzwa atakipasua chama na kuwa kama NCCR TLP na CUF ya Lipumba
 
Mbowe ni mroho wa madaraka ni mchoyo sana pesa zote za chama anakula mwenyewe idara ya pesa yupo mwenyewe yeye ndiyo mhasibu mkuu hataki hata katibu mkuu asogelee pesa, Mbowe huendesha chama kama Duka binafsi chadema ni Saccos yake
 
Swali hili lingekuwa hivi:

Kwa nini kuna juhudi kubwa sana za kuhakikisha Mbowe anaendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA?​

Mbowe kaiba pesa nyingi za chadema anahofia akiingia mwenyekiti mpya Siri madudu yake yote yatavuja na kuwa wazi
 
Kwa hiyo uelevu wako ni kuona kwamba Mbowe ndiye mwenye haki miliki ya kuwa mwenyekiti wa cdm
Chawa sasa wanakula pesa za mbowe kama mchwa mbowe anahaha kuununua uenyekiti kwa gharama yeyote afiche maovu yake
 
Naongeza swali hapo kwanini kwa mara ya kwanza hadi makada wa CCM wamejitokeza kutaka Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wakati mwanzo walimuita Mugabe?
Makada wa CCM wanampigia debe Mbowe ili wanachama wa Chadema waamini kuwa ni kibaraka wao. Wakiamini hivyo watampigia kura Lissu ambae wao ndio wanataka ashinde.

Amandla...
 
Kwanza hakuna juhudi zooote za kumweka Mbowe pembeni bali Mbowe mwenyewe kwa ujinga wake ndiyo kayataka haya ya sasa, kwani hapo kabla ya uchaguzi walikaa kikao wakakubaliana kuwa mbowe agombee uenyekiti na Lisu agombee umakamu mwenyekiti, lakini wakati wakisubiria mda ufike mbowe akawa ameanza kumhujumu Lisu chini chini akamtuma wenje wakampe pesa ili wamshushe kisiasa, akaon haitoshi akamhujumu Heche ambaye ni rafiki mkubwa wa Lisu, akaona haitoshi akawatuma mdee bonface kumchafua Lisu kila kona,huku Wenje na wengine wakipandikizwa na mbowe kugombea makamu mwenyekiti lakini wakiwa ni watu ambao wapo kimkakati wa mbowe mwenyewe, Lisu alipobaini njama zote za mbowe kupitia chawa wa mbowe ambao hawapendi uonevu na hujuma za mbowe ndipo Lisu akaamua sasa kugombea Uenyekiti ili kumuonyesha Mbowe kuwa amebaini njama zake zote na sasa ngoja amuonyeshe siasa inavyotakiwa kwenda kisitaarabu kwani mbowe ni Dikteta na mchoyo mroho wa madaraka na pesa za chama
Umeandika sana lakini hamna chenye uthibitisho. Ni hadithi tu za vijiweni hivyo ni vigumu kukujibu maana kwa ulivyoandika hamna namna nitaku convince otherwise.

Amandla...
 
Tumemchoka nkurunzinza tunataka changamoto mpya lissu atatusogeza mbele
 
Hii ni ndefu kwa hiyo kwa wale ambao kusoma para zaidi ya moja ni mtihani wala wasianze kuisoma.

Kuna wanachama na wafuasi wa CHADEMA pamoja na wapinzani wengine wa chama tawala ambao wanaamini kwa dhati kuwa ni wakati muafaka wa kubadilisha approach ya kuleta mabadiliko kwa sababu inayotumika sasa hivi kwa kiasi kikubwa haijafanikiwa.

Wanaamini hii ni kwa sababu Mbowe hawezi kumudu tactics ambazo ni aggresive na confrontational za wakati huo. Na chachu ya tactics hizo itatokana nje ya taratibu za kawaida kama tulivyoona vijana wa nchi jirani walivyotumia tik tok n.k.

Mambo haya yote hayaendani na hulka ya Mbowe ambayo kwa kiasi fulani ni ya traditional politics. Hawa walihitaji kiongozi ambae hana uvumilivu kama wao. Kiongozi ambae yuko tayari kwenda "mano a mano" na serikali bila kujali consequences.

Kwa mtazamo wao Lissu ndio kiongozi anaewafaa. Kwa sababu walimwona Mbowe kama kizingiti kwao wakatumia tactics za kumuaibisha na kumbeza ili aone hahitaji hizo fedheha ajitoe. Bahati mbaya kwao walikuwa hawajamsoma Mbowe vizuri. Hawakujua tactics hizo ndio zitamfanya aone chama chake kinataka kuwa hijacked kihuni.

Kitu vingine ambacho hawakuzingatia ni kuwa watanzania wengi hawapendi confrontation na hivyo kuna uwezekano mdogo wa wao kujitokeza kwa wingi kujiunga nao. Kingine ni kuwa tactic kama hizi hazileti matokeo ya kudumu na mara nyingi zinakuwa hijacked na wana siasa na kufa kifo cha kimya kimya. Tumeona Kenya. Tumeona Malawi. Hata Tunisia na Misri.

Ubaya mwingine ni kuwa ni vigumu ku control ili vurugu zisitawale. Picha za vijana wakiwa wana warushia mawe hazina tija.

Amandla...
Mbowe kachoka sana kiakili zaidi ya mwili
 
Back
Top Bottom