Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
NHIF ni wezi na matakataka hilo lipo wazi. Hawana wanalofanya zaidi ya kukaa na kunenepeana kwenye yale maofisi yao. Tena bora wewe umetumiwa msg wengine wamekatwa juu kwa juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachangia ili wewe na familia yako mpate huduma, hilo ndilo lengo la kwanza na la msingi, siyo kutibia majirani.Hudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
Hiyo ni sheria, lakini kwa mtoto akiwa shule huwa ni 21yrs. Wa kulaumiwa ni sisi wananchi tunao chagua wabunge wa CCM kwenda bungeni kupiga makofi ya ndiooo na kupitisha Sheria za kijinga za lengo la kuwakamua wananchi. Serikali ya CCM haijali afya ya wananchi, tena wakizeeka ndio janga. Bima kwa wazee ni kubwa sana, japo Wana magonjwa mengi lakini nguvu zao ndio zimelifisha taifa hapa hata kama alikuwa muuza madafu au mkulima wa mihogo.Nimetumiwa meseji na Mfuko wa bima ya afya ya taifa NHIF inasema nanukuu " kadi ya mtoto wako .....itakoma kutumika tarehe .... Mwezi wa kumi namoja baada ya kutimiza umri wa miaka 18. Fika ofis ya NHIF au piga 0800110063" mwisho wa kunukuu.
Ninachangia laki moja na elfu ishirini kila mwezi toka kwenye mshahara wangu kwenye mfuko wa NHIF. Nina watoto wa wili wa kike , mmoja 18 years kasoro, wapili 15 years. Hawa ndo Dependants wanufaika wa mfuko ukiniacha mie. Mke wangu ni mchangiaji pia hivyo naye anatumia bima kutokana na michango yake.
Kwa umri wangu ntaendelea kuchangia for 15 years more nikiwa mwajiriwa.
Sasa hapa wizi ninaouona nikwamba pamoja na kuchangia Sh. Laki moja kila mwezi watoto wangu ati wanaondolewa kama beneficiaries eti ametimiza 18 years. Huyo mtoto bado ni Dependants maana yupo shule bado. Siomwajiriwa au anayejitegemea.
Pili value ya mfuko wa bima ya afya inaonekana pale unaposaidia kutibu close Dependants kama watoto ,baba na mama. Sasa kamna waondoa watoto then value ya hicho ninacho changia haipo ndipo ninapohisi kudhurumiwa.
Nauliza wadau. Hivi hakuna mfuko mbadala zaidi ya NHIF? Na kama ipo, je sheria inaruhusu kujitoa kwenye huu mfuko nyonyaji wa NHIF.
Na CCM hela itapata wapi? Umewahi kusikia mchango wa nhif, ewura, rea, tanesco nk kwenye budget ya mwaka?Mhhh hayo mahaba sasa, kumsaidia ndiyo iwepesa yote hiyo? Hiyo mifuko Hata ingefanya sh elfu kumi Kwa mwaka ingetosha kabisa, Kwani wanaumwa ni wachache kuliko wazima
Sawa, lakini si masharti kama ya nhif Tanzania. Kifupi wanakusanya hela bila kutoa huduma. Wanapanga ni magonjwa yapi mtu augue, mengine hapana. Mkata bima mwanamke anapangiwa muda wa kuzaa tangu akate bima, alimfuata maelekezo ya Magufuli ya kufyatua watoto inakula kwake.Mkuu kwa mujibu wa sheria, NHIF wapo sahihi, baada ya kufikisha umri wa miaka 18 huyo sheria inamtambua kuwa sio mtoto tena, kwa suala lako nakushauri nenda kwenye ofisi ya NHIF ya mkoa uliopo ukawaeleze kuwa huyo mwanao bado ni mwanafunzi watakuelekeza cha kufanya na ataendelea kutumia bima mpaka atakapo maliza shule.
Kimsingi elimu kuhusu bima bado inahitajika, hakuna bima ya Afya isiyo na masharti kote duniani
Kusema kwamba wanakusanya pesa bila kutoa huduma sio sawa kwa sababu huduma zinatolewa na watoa huduma (Dispensaries, Health Centers, Polyclinics na Hospitals) jukumu la NHIF ni kugharamia huduma,ni vizuri pia ieleweke kuwa jukumu la kuandaa sera na miongozo ya matibabu ni la wizara ya afya, inawezekana kabisa wanufaika wa mfuko hawaridhishwi na huduma wanazopata , hilo linazungumzika na ni jukumu la wabungeSawa, lakini si masharti kama ya nhif Tanzania. Kifupi wanakusanya hela bila kutoa huduma. Wanapanga ni magonjwa yapi mtu augue, mengine hapana. Mkata bima mwanamke anapangiwa muda wa kuzaa tangu akate bima, alimfuata maelekezo ya Magufuli ya kufyatua watoto inakula kwake.
Na bahati mbaya, hatuna wabunge! Wangekuwepo sheria kandamizi kama hii ya nhif isingepitishwa. Dispensary, vituo vya afya na hospitali ni mawakala wa nhif, hawana lawama katika mapungufu ya nhif. Mtunga sera ni serikali kupitia wizara ya afya. Ndio inatakiwaKusema kwamba wanakusanya pesa bila kutoa huduma sio sawa kwa sababu huduma zinatolewa na watoa huduma (Dispensaries, Health Centers, Polyclinics na Hospitals) jukumu la NHIF ni kugharamia huduma,ni vizuri pia ieleweke kuwa jukumu la kuandaa sera na miongozo ya matibabu ni la wizara ya afya, inawezekana kabisa wanufaika wa mfuko hawaridhishwi na huduma wanazopata , hilo linazungumzika na ni jukumu la wabunge
Una hamu ya kufaidika na bima ya afya?
Ni kuomba uugue ugonjwa mkubwa na wa muda mrefu ndio utafaidi vizuri bima yako
No hiyo sio sasa. Lazima mie mchangia michango yangu inufaishe kwanza watoto wangu kabla ya huyo mgonjwa mwingine unaye muongelea. Haiwezekani nichangie lakimoja na elfu ishirini kila mwezi halafu mtoto wangu akiugua bado nikalipie matibabu yake hospital hiyo sio sawaHudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
Nikweli kabisa mkuu. Pale pana nafasi tano za Dependants. Mie nilijaza mbili tu za wanufaika .na mmoja ndo huyo wanataka kumtoa . ati michango yangu ya almost milioni moja na lakitatu kwa mwaka hata watoto wangu wasifaidi hii sio sawaPole
Ukiwa ni mtumishi wa umma hakuna mfuko mbadala zaidi ya NHIF ambayo ni lazima;
Hata mtoto wako angekuwa na miaka 40 bado angestahili kufaidika na bima yako, ishu sio umri au kujitegemea kwa mnufaika, cha kuzingatia ni slots zinazotolewa kwa mnufaika ndio zizingatiwe. Umepewa nafasi 5 zitumike hizo bila kujali ni kina nani wananufaika na bila kujali hata umri wao;
Hapo bado hujakwenda hospitali na kuambiwa ugonjwa huu haupo katika magonjwa yanayotibiwa kwa NHIF. Yaani unachangia laki na ishirini kwa mwezi, mtoto wako akiumwa unamlipia tena kumtibu na wewe mwenyewe ukienda hospitali kutibiwa bado utatakiwa kujilipia😭😭
Hizi ndio sheria zinazoitwa kandamizi, zikifuatiwa na sheria ya utumishi wa umma, sheria ya mifuko ya jamii na sheria za kodi, tuna nafasi ya kuzibadilisha, tuitumie vizuri.
Nafikiri hiyo haijakaa vizuri. Nikwamba kwenye zile nafasi tano mie nimejaza mbili tu. Zote watoto wangu. Ndio hao wanataka kumtoa mmoja eti anatmiza miaka 18 December. Which means hata watoto duration ya kufaidi ni limitedHio ni kawaida kwa mifuko yote ya bima hata bima za Private. Kuna umri Fulani dependents wakifikia inabidi wawe na bima zao. Inategemea na bima, zingine zinasema 18years zingine 21years.
Labda ungeenda NHIF na documents zake urequest waextend useme bado ni mwanafunzi labda unaeza kusaidiwa.
Bima ya mwanafunzi inakatwa na taasisi sio mwanafunzi individuallyMkatie bima ya wanafujnzi gharama ni nafuu
Pole sana KiongoziNimetumiwa meseji na Mfuko wa bima ya afya ya taifa NHIF inasema nanukuu " kadi ya mtoto wako .....itakoma kutumika tarehe .... Mwezi wa kumi namoja baada ya kutimiza umri wa miaka 18. Fika ofis ya NHIF au piga 0800110063" mwisho wa kunukuu.
Ninachangia laki moja na elfu ishirini kila mwezi toka kwenye mshahara wangu kwenye mfuko wa NHIF. Nina watoto wa wili wa kike , mmoja 18 years kasoro, wapili 15 years. Hawa ndo Dependants wanufaika wa mfuko ukiniacha mie. Mke wangu ni mchangiaji pia hivyo naye anatumia bima kutokana na michango yake.
Kwa umri wangu ntaendelea kuchangia for 15 years more nikiwa mwajiriwa.
Sasa hapa wizi ninaouona nikwamba pamoja na kuchangia Sh. Laki moja kila mwezi watoto wangu ati wanaondolewa kama beneficiaries eti ametimiza 18 years. Huyo mtoto bado ni Dependants maana yupo shule bado. Siomwajiriwa au anayejitegemea.
Pili value ya mfuko wa bima ya afya inaonekana pale unaposaidia kutibu close Dependants kama watoto ,baba na mama. Sasa kamna waondoa watoto then value ya hicho ninacho changia haipo ndipo ninapohisi kudhurumiwa.
Nauliza wadau. Hivi hakuna mfuko mbadala zaidi ya NHIF? Na kama ipo, je sheria inaruhusu kujitoa kwenye huu mfuko nyonyaji wa NHIF.
Ni case ngapi za jibyo. Hawa jamaa inabidi wa-review makadrio yaoHudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
Nashukuru sana mkuuPole sana Kiongozi
Sijasoma michango wa wengine kuona kama umesha shauriwa, Kama bado;
Naomba nikupe muongozo kwani mimi ni moja niliye fuatilia masuala ya Bima ya Afya kwa Undani
Bima ya Taifa NHIF humtambua mtoto kama anaweza kujitegemea pale anapo timiza mika 18 kama hayupo shuleni/chuoni
Kwa watoto wanaosoma Sekondari au Chuo, Bima huendelea hadi watakapo maliza masomo yao
Ina maana kama yupo sekondari itaendelea na akimaliza akapata chuo pia itaendelea
Cha kufanya; wapelekee uthibitisho unao onesha kuwa mtoto wako yupo shuleni/Chuoni
inaweza kuwa Barua kutoka shuleni/chuoni yenye picha yake inayo onesha anasoma kwa muda/miaka ngapi (Mwezi wa kuanza na mwezi tarajiwa wa kumaliza.
Natumaini umesaidika