Hapo akisema aende aseme ni wanafunzi ataambiwa awakatie ile ya chuo kama sikosei ni 50,400 kwa mwaka
Hapo cha kufanya tafuta watoto wa ndugu zako uwaingize wafaidi vinginevyo hakuna namna
Ila huu utaratibu ni mbovu umri unamkoseshaje mtoto kuendelea kuwa mnufaikaji wa mchangiaji ili hali bado anaendelea kuwa mtoto wa mchangiaji. Hao NHIF wana tatizo sana kwa umri wa miaka 18 kwa mfumo wa elimu yetu huyu mtoto si yupo form 4 maana tunaanza shule miaka 7 mpk umalize la 4 una 14 ongeza miaka minne ya olevel 4 tayari mtoto 18 sasa 18 huyu anawezaje kujilipia huduma za afya kwa akili za kawaida bila kumtegemea mzazi umri wa kumuondoa at least ingekuwa 26 ingawa napo hakuna mantiki ili hali bado mnamkata same amount hata baada ya kuwatoa wategemezi
Kama wachangiaji walivyosema huko juu uwezo wa kubadilisha haya upo mkononi mwako kupitia kura yako kachague mgombea atakayeondoa dhulma hizi na kuleta usawa