Kwanini kusiwe na mshindani wa NHIF? Kiukweli wanachofanya ni dhuluma

Mkuu inabidi uzae mwanao mwingine au mjukuu ili uendelee kura haki yako.Ukichagua CCM ujue hata wewe watakutoa kama beneficiary.Ukichagua LIssu basi mambo yatakuwa sawa.TUNA JAMBO LETU 28OCTOBER
Uongo
 
Nenda na vitambulisho kuwa anasoma.
pili taifa lolote lina kiwango cha umri kuwa ni mtu mzima na watoto kwenye mahesabu wasipoyatumia hayo yatawadondosha.
Watoto wake inaonesha hawakui, inawezekana na yeye bado anatumia kadi ya baba yake
 
Pia unakuta mke anakatwa, mume anakatwa kwa wakati mmoja tena pengine wote wakiwa kwenye taasisi moja, Je huo sio wizi?
 
Bima ya Afya ya NHIF ni Majanga na Mateso makubwa. Sasa wewe bora uko na monthly contributions. Vile Vifurushi binafsi ndiyo majanga makubwa. Aliyevipitisha ninafikiri si Mtanzania maana kwa hali zetu asingepanga hivyo. Nina waziwazi wafanye maamuzi huko NHIF watakuwa ni either Warundi au Wanyarwanda. Bima hii kwa huduma mbovu nimeamua kwa moyo mmoja nikiwa mwana CCM lakini nitampigia kura Tindu Lissu maana kipaumbele chake ni kuondoa kero za Bima ya afya.
 
Mkuu kwa mujibu wa sheria, NHIF wapo sahihi, baada ya kufikisha umri wa miaka 18 huyo sheria inamtambua kuwa sio mtoto tena, kwa suala lako nakushauri nenda kwenye ofisi ya NHIF ya mkoa uliopo ukawaeleze kuwa huyo mwanao bado ni mwanafunzi watakuelekeza cha kufanya na ataendelea kutumia bima mpaka atakapo maliza shule.

Kimsingi elimu kuhusu bima bado inahitajika, hakuna bima ya Afya isiyo na masharti kote duniani
 
Hudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
Usijibu kirahisi hivyo....
 
Hapo akisema aende aseme ni wanafunzi ataambiwa awakatie ile ya chuo kama sikosei ni 50,400 kwa mwaka

Hapo cha kufanya tafuta watoto wa ndugu zako uwaingize wafaidi vinginevyo hakuna namna

Ila huu utaratibu ni mbovu umri unamkoseshaje mtoto kuendelea kuwa mnufaikaji wa mchangiaji ili hali bado anaendelea kuwa mtoto wa mchangiaji. Hao NHIF wana tatizo sana kwa umri wa miaka 18 kwa mfumo wa elimu yetu huyu mtoto si yupo form 4 maana tunaanza shule miaka 7 mpk umalize la 4 una 14 ongeza miaka minne ya olevel 4 tayari mtoto 18 sasa 18 huyu anawezaje kujilipia huduma za afya kwa akili za kawaida bila kumtegemea mzazi umri wa kumuondoa at least ingekuwa 26 ingawa napo hakuna mantiki ili hali bado mnamkata same amount hata baada ya kuwatoa wategemezi

Kama wachangiaji walivyosema huko juu uwezo wa kubadilisha haya upo mkononi mwako kupitia kura yako kachague mgombea atakayeondoa dhulma hizi na kuleta usawa
 
Hudhulumiwi, isipokuwa hiyo fedha inamsaidia mnufaika mwingine wa NHIF ambaye pengine amelazwa muda mrefu au anaumwa ugonjwa sugu wenye gharama kubwa sana ya matibabu kuliko kiasi chake anachochangia kwa mwezi/mwaka.
Uko sahihi lakini huoni wataja teseka watu anaowajua (damu yake mtoa mada) kuliko hao asiowajua.
Fikiria mkuu lkn.
 
Hapo akisema aende aseme ni wanafunzi ataambiwa awakatie ile ya chuo kama sikosei ni 50,400 kwa mwaka

Hapo cha kufanya tafuta watoto wa ndugu zako uwaingize wafaidi vinginevyo hakuna namna

Ila huu utaratibu ni mbovu umri unamkoseshaje mtoto kuendelea kuwa mnufaikaji wa mchangiaji ili hali bado anaendelea kuwa mtoto wa mchangiaji. Hao NHIF wana tatizo sana kwa umri wa miaka 18 kwa mfumo wa elimu yetu huyu mtoto si yupo form 4 maana tunaanza shule miaka 7 mpk umalize la 4 una 14 ongeza miaka minne ya olevel 4 tayari mtoto 18 sasa 18 huyu anawezaje kujilipia huduma za afya kwa akili za kawaida bila kumtegemea mzazi umri wa kumuondoa at least ingekuwa 26 ingawa napo hakuna mantiki ili hali bado mnamkata same amount hata baada ya kuwatoa wategemezi

Kama wachangiaji walivyosema huko juu uwezo wa kubadilisha haya upo mkononi mwako kupitia kura yako kachague mgombea atakayeondoa dhulma hizi na kuleta usawa
Mkuu, NHIF wana utaratibu wa kufuata ili huyo mtoto aendelee kutumia bima ya mzazi wake , kama yupo chuo wana utaratibu wao, kuwalaumu NHIF kwenye hili jambo sio sawa, wao ni watekelezaji tu wa miongozo, sera na sheria zilizopo
 
Kaulize vizuri kama anaingia chuo
Wana bima za wanafunzi wa vyuo
 
Hapo akisema aende aseme ni wanafunzi ataambiwa awakatie ile ya chuo kama sikosei ni 50,400 kwa mwaka

Hapo cha kufanya tafuta watoto wa ndugu zako uwaingize wafaidi vinginevyo hakuna namna

Ila huu utaratibu ni mbovu umri unamkoseshaje mtoto kuendelea kuwa mnufaikaji wa mchangiaji ili hali bado anaendelea kuwa mtoto wa mchangiaji. Hao NHIF wana tatizo sana kwa umri wa miaka 18 kwa mfumo wa elimu yetu huyu mtoto si yupo form 4 maana tunaanza shule miaka 7 mpk umalize la 4 una 14 ongeza miaka minne ya olevel 4 tayari mtoto 18 sasa 18 huyu anawezaje kujilipia huduma za afya kwa akili za kawaida bila kumtegemea mzazi umri wa kumuondoa at least ingekuwa 26 ingawa napo hakuna mantiki ili hali bado mnamkata same amount hata baada ya kuwatoa wategemezi

Kama wachangiaji walivyosema huko juu uwezo wa kubadilisha haya upo mkononi mwako kupitia kura yako kachague mgombea atakayeondoa dhulma hizi na kuleta usawa

Hata wa ndugu wanakataa wanataka watoto uliowazaa wewe mwenyewe, na kama wa ndugu uwe umemuasili, yaani inatia sana uchungu.

Mimi ninakatwa ila hakuna anaefaidika imebidi tu niwe na kadi mbili moja ninayokatwa mimi nyingine kwa kupitia Mr. atleast nipooze machungu
 
Una hamu ya kufaidika na bima ya afya?

Ni kuomba uugue ugonjwa mkubwa na wa muda mrefu ndio utafaidi vizuri bima yako
 
Back
Top Bottom