Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

Sababu kubwa ni wanawake wa kiafrika,kwanza wana njaa tamaa kama zote.Na baadhi ya sisi Wanaume nao akili zetu kama Wanawake unajua fika x ni Mke wa Mtu lakini mtu kakomaa hivyo hivyo.
Wenzetu walisaharabika haya mambo yamepungua sana,lakini huku ndio fashion.
Mkuu,hakuna cha sisi weusi Wala wao weupee
Yapo kote kote haya, kama bill Clinton alimkula secretary wake ,Anord Schwarzenegger alizaa na house maid wake , unataka kusemaje labda
Hizi tabia zipo kote kote , haijalishi mweusi au mweupe
 
Yani watu wanakaa saa 2 - 11 jioni, siku 6 za wiki. Wankunywa chai pamoja, chakula pamoja, they are mostly liked to develop feelings.

Ila kiukweli mwisho wake ni mbaya tu.

Mm nishawai kua na mapenzi kazini, mapenzi ninapo kaa ila mwisho wake ukawa ni kuacha hyo kazi na kuhama hizo nyumba
 
Back
Top Bottom