Kwanini kuwa na mahusiano ya kimapenzi kazini mara nyingi huwa hakuepukiki?

Mkuu,hakuna cha sisi weusi Wala wao weupee
Yapo kote kote haya, kama bill Clinton alimkula secretary wake ,Anord Schwarzenegger alizaa na house maid wake , unataka kusemaje labda
Hizi tabia zipo kote kote , haijalishi mweusi au mweupe
 
Yani watu wanakaa saa 2 - 11 jioni, siku 6 za wiki. Wankunywa chai pamoja, chakula pamoja, they are mostly liked to develop feelings.

Ila kiukweli mwisho wake ni mbaya tu.

Mm nishawai kua na mapenzi kazini, mapenzi ninapo kaa ila mwisho wake ukawa ni kuacha hyo kazi na kuhama hizo nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…