Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Watawala wa Afrika wanapenda cheo cha uungu mtu mifumo imara sio ajenda yao bali kuabudiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM wote wako hivyo hamna wa tofauti chupa mpya mvinyo uleule kijani kibichi .Oooooh kumbe mama ni famba. Tumepigwa.
Mfumo ndio nini?Kama kuna mifumo Imara Raisi anaenda kukagua nini? Hata waziri tu hapaswi kwenda kukagua,
Nini maana ya neno "uzalendo"?Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.
Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.
Hahahahahaaaa [emoji1]Ni hoja dhaifu kudai hakuna mifumo, labda kama una tafsiri tofauti.
Kwa tafsiri ninayoifahamu Mfumo ni Sera na Sheria zikisimamiwa na kutekelezwa na Taasisi zilizoanzishwa kisheria. Hizo Taasisi zinaongozwa na watu ambao kimsingi baadhi huziendesha kwa maslahi binafsi.
Alichokuwa anafanya Hayati ni kurudisha heshima ya dhamana ya uongozi. Aliwatumbua bila kusubiri uchunguzi pale alipothibitisha kutokuwajibika, na mifano iko mingi.
Umeongea points tupuKwani mfumo ndio nini, na mfano wa mfumo ni upi ambao ni tofauti na uliopo, kwamba Rais anakuwa na wasaidizi toka juu kabisa Hadi ngazi ya kitongoji??
Kuna kipi kinachokosekana hapo, kuna Bunge, Mahakama na Ile Taasisi ya Uraisi, ni mfumo gani huo mwengine
Maana kila mtu, anaongelea Mfumo, mfumoo, bila kuongoza mjadala wa Hilo Neno mfumo,
Mfumo ndio kitu gani Hilo na linafanaje??
Shida siyo mfumo, shida ni wananchi wenyewe,
Kwanza ni wachezea mfumo, lakini pili, Wapo tayari kutetea waharifu wa mfumo,
Nchi yangu hii, iko tofauti Sana pengine na watu wote wa Dunia hii, ni nchi pekee ambayo, watu wake wanaweza kushirikiana na wahamiaji haramu kuwaficha majumbani mwao na kuwasafitisha Kutokea makwao Kwa kutumia magari Yao, ni nchi pekee ambayo watu wake hawajali pindi Mali na utajiri wa nchi Yao unaposombwa na kina Manji, ni nchi pekee inayo walilia wauza dawa za kulevya wake kuwekeza nchini Kwa madai eti walionewa
Ni nchi pekee ambapo watu wake hukaa kimya mafuta ya serikali yanapoibiwa waziwazi huku wananchi wake hawatoi tarifa hata kama nyumba inayofanya uharifu huo imepakana na Watanzania
Ni nchi pekee ambapo mapolisi wanaweza kusindikiza mwizi wa Tanzanite Kwa ulinzi na vingora kumvusha mipakani na bado asikari huyo akapandishwa cheyo
Nchi yangu ya ajabu hii,
Ikipata Raisi wa kukomesha hayo, ataitwa mnyanyasaji na eti hapendi wawekezaji, ni nchi pekee ambapo wakubwa wake, wanauhuru wa kufanya biashara na wasilipe Kodi eti tu wamekuwa viongozi, unajiuliza, ni kivipi Kodi za wananchi zinatumika kuwalipa?
Nenda US, Trampo alichunguzwa Kwa kampuni yake ilipoonekana kuna kipindi ilitaka kukwepa kulipa kodi, tofauti na kwetu ambapo kiongozi anaweza kuwa imma Muuza ngada ama fam...! Yake na bado Watanzania wakaendelea kupiga makofi na kusifia
Mungu wangu..!
Mfumo ni kama wa UDART ule ambao umehujumiwa ili wakusanya nauli wajipigie hela tu pamoja na wale waliowaweka pale!Binafsi nataka kujua nini maana ya mfumo? je ni kweli Tanzania Hakuna mfumo au hatuna wasimamizi wa mifumo? mfano Takururu, Mahakama, etc ni mifumo au laa, maana tunaweza kuongea kitu albacore tuko nacho na tuna sema hakipo.
Hapana, angalia juzi kilichotokea tanesco, reaction ya namna hiyo ndivyo inavyotakiwa karibu kila idara ya serikali ukikorofisha jua nchi inasimama, sasa sijui utaanzia wapi kutosimamia vizuri.Naona kila mmoja anaongelea, mifumo, mifumo. lkn mnaelewa maana ya mifumo? Na mnaelewa ya kuwa mifumo bila ya usimamizi thabiti ni sawa na buree?
Usitukane wewe ndiyo Jinga la wajinga bendela fuata upepo ulaanike mwana izaya mkuu wewe Mbingu utaisikia mnafiki sana pangu pakavu tia mchuzi Nakuonya usitutukane Wtz wajinga ni wewe tu si ajabu hata familia yako haijui huu ujinga unao upost humuMkuu kunywa soda nakuja kulipa!
Machadema yanapotamka neno mfumo yanafikiri sijui ni lidude gani hilo! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia sasa hivi Samia hata afanye kosa gani wako tayari kumtetea eti ili kumkomoa marehemu!
Watz ina watu wajinga sana mkuu
Kweli ujinga ni mzigo!Usitukane wewe ndiyo Jinga la wajinga bendela fuata upepo ulaanike mwana izaya mkuu wewe Mbingu utaisikia mnafiki sana pangu pakavu tia mchuzi Nakuonya usitutukane Wtz wajinga ni wewe tu si ajabu hata familia yako haijui huu ujinga unao upost humu
We mtu..! Unajielewa lakini?Usitukane wewe ndiyo Jinga la wajinga bendela fuata upepo ulaanike mwana izaya mkuu wewe Mbingu utaisikia mnafiki sana pangu pakavu tia mchuzi Nakuonya usitutukane Wtz wajinga ni wewe tu si ajabu hata familia yako haijui huu ujinga unao upost humu
Mkuu, kelele za mifumo imara mnazoimba, mfano wake ndio huu??Ni hoja dhaifu kudai hakuna mifumo, labda kama una tafsiri tofauti.
Kwa tafsiri ninayoifahamu Mfumo ni Sera na Sheria zikisimamiwa na kutekelezwa na Taasisi zilizoanzishwa kisheria. Hizo Taasisi zinaongozwa na watu ambao kimsingi baadhi huziendesha kwa maslahi binafsi.
Alichokuwa anafanya Hayati ni kurudisha heshima ya dhamana ya uongozi. Aliwatumbua bila kusubiri uchunguzi pale alipothibitisha kutokuwajibika, na mifano iko mingi.
Famba ni mama yako mzazi aliyekuzaa wewe kahabaOooooh kumbe mama ni famba. Tumepigwa.
Mfumo ndio nini na mfano wake ni nini, na unapatikanaje?Kukiwa na mifumo imara uwezekano wa viongozi kuwaandaa na kurithisha madaraka kwa vizazi vyao utayeyuka ( power elite model )
una maanisha succession planKukiwa na mifumo imara uwezekano wa viongozi kuwaandaa na kurithisha madaraka kwa vizazi vyao utayeyuka ( power elite model )
Nadhani viongozi wamsome hayati BWM. Ukiacha mifumo inaishi miaka dahari na utabaki kukumbukwa daima lakini kama hiyo ya one man/woman army itakua legacy too temporaryMwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.
Mama na yeye haelekei kujenga mifumo bali anafuata nyayo za mwendazake, Je ni kitu gani wanaogopa? Kwanini hawataki kuweka mifumo?
Mama anaweza kuacha legacy ya kuwa Rais pekee aliyetengeneza mifumo ambayo kuja ku temper nayo kutahitaji kazi ngumu sana.
Kwa sasa naona mama kaanza zile misele za mtangulizi wake mara Kariakoo mara sijui anawaomba wasaidizi wake wawe wanahesabu bati na tofali.
Bila mifumo imara tusidanganyane hakuna kitakacho songa mbele.
Nini maana ya neno "uzalendo"?
Haya mambo ya Makamanda yanasomeka vizuri sana kwa kuambiwa, au ukiyasoma juu juu. What is mfumo? What is imara? All these are adjectives that can only be realised by human action. Unahitaji watu imara, the rest is rubbish. Mfumo wa Tanzania tangu zamani ni imara, sheria zipo, katiba ipo, tume zipo, jela zipo, tangu zamani. Hata wakoloni hawakuruhusu kuiba au kuua lakini waliiba na kuua. Kilichokosekana ni MTU imara, iwe Nyerere au Sokoine au Magufuli au Kardinali Pengo au Mufti Zuberi: MTU imara. Bila Magu tusingeenda Dodoma, tusingefaidi makanikia na tusingejenga miundo mbinu. Hizo hela alizonunua ndege na kujenga reli na flyovers kwani zamani zilikuwa zinaenda wapi?Mwendazke na uzalendo wake wote hakutaka kuweka mifumo kabisa ndo maana kwa sasa kila kitu chake kishapinduliwa.