Kwanini kuweka mifumo imara nchini kunaogopwa?

Nini maana ya neno "uzalendo"?
 
Hahahahahaaaa [emoji1]
 
Umeongea points tupu
 
Binafsi nataka kujua nini maana ya mfumo? je ni kweli Tanzania Hakuna mfumo au hatuna wasimamizi wa mifumo? mfano Takururu, Mahakama, etc ni mifumo au laa, maana tunaweza kuongea kitu albacore tuko nacho na tuna sema hakipo.
Mfumo ni kama wa UDART ule ambao umehujumiwa ili wakusanya nauli wajipigie hela tu pamoja na wale waliowaweka pale!

Bado wa GepG nao soon utapigwa chini ili watu wajikusanyie hela kwenye Sandarusi
 
Naona kila mmoja anaongelea, mifumo, mifumo. lkn mnaelewa maana ya mifumo? Na mnaelewa ya kuwa mifumo bila ya usimamizi thabiti ni sawa na buree?
Hapana, angalia juzi kilichotokea tanesco, reaction ya namna hiyo ndivyo inavyotakiwa karibu kila idara ya serikali ukikorofisha jua nchi inasimama, sasa sijui utaanzia wapi kutosimamia vizuri.
 
Usitukane wewe ndiyo Jinga la wajinga bendela fuata upepo ulaanike mwana izaya mkuu wewe Mbingu utaisikia mnafiki sana pangu pakavu tia mchuzi Nakuonya usitutukane Wtz wajinga ni wewe tu si ajabu hata familia yako haijui huu ujinga unao upost humu
 
Wamebaki wanalialia tu. Mzalendo hayupo genge lake linabaki kulialia tu, kwa nini hamkumshauri ajenge mfumo imara au katiba bora, kazi yenu ni kusifu na kuabudu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais au mkuu yeyote akishatamani camera za tv tutaishia kupambiana kwenye midia tu huku Mambo yakiharibika.
 
Usitukane wewe ndiyo Jinga la wajinga bendela fuata upepo ulaanike mwana izaya mkuu wewe Mbingu utaisikia mnafiki sana pangu pakavu tia mchuzi Nakuonya usitutukane Wtz wajinga ni wewe tu si ajabu hata familia yako haijui huu ujinga unao upost humu
Kweli ujinga ni mzigo!

Sasa hiki ulichoandika hapa ni kitu gani?

Ndio umechamba au umefanyaje sasa?

Wewe endelea kutetea upuuzi wenzio wanapiga mihela huko huku ukoo wako unateketea kwa ufukara!
 
Usitukane wewe ndiyo Jinga la wajinga bendela fuata upepo ulaanike mwana izaya mkuu wewe Mbingu utaisikia mnafiki sana pangu pakavu tia mchuzi Nakuonya usitutukane Wtz wajinga ni wewe tu si ajabu hata familia yako haijui huu ujinga unao upost humu
We mtu..! Unajielewa lakini?
 
Mkuu, kelele za mifumo imara mnazoimba, mfano wake ndio huu??

Hovyo Sana!! Yaani mpaka hapa, bado sjaona mwenye kuuelezea huo mfumo imara na maana yake
 
Kukiwa na mifumo imara uwezekano wa viongozi kuwaandaa na kurithisha madaraka kwa vizazi vyao utayeyuka ( power elite model )
Mfumo ndio nini na mfano wake ni nini, na unapatikanaje?
Mbona mnabwabwaja tu bila kuusema huo mfumo ni uko vipi
 
Nadhani viongozi wamsome hayati BWM. Ukiacha mifumo inaishi miaka dahari na utabaki kukumbukwa daima lakini kama hiyo ya one man/woman army itakua legacy too temporary
 
Nini maana ya neno "uzalendo"?
Haya mambo ya Makamanda yanasomeka vizuri sana kwa kuambiwa, au ukiyasoma juu juu. What is mfumo? What is imara? All these are adjectives that can only be realised by human action. Unahitaji watu imara, the rest is rubbish. Mfumo wa Tanzania tangu zamani ni imara, sheria zipo, katiba ipo, tume zipo, jela zipo, tangu zamani. Hata wakoloni hawakuruhusu kuiba au kuua lakini waliiba na kuua. Kilichokosekana ni MTU imara, iwe Nyerere au Sokoine au Magufuli au Kardinali Pengo au Mufti Zuberi: MTU imara. Bila Magu tusingeenda Dodoma, tusingefaidi makanikia na tusingejenga miundo mbinu. Hizo hela alizonunua ndege na kujenga reli na flyovers kwani zamani zilikuwa zinaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…