tuliagizwa tusifunge kama mafarisayo ili tuonekana hii ni project flani hivi ya siri , ukifunga unakua low profile utakiwi kujionyesha watu wanafu mpaka mwezi wanakunywa dry wanakula mara moja tu usiku kila baada ya siku tatu tena wanagonga msos mlain kama uji tu juisi na hawasemi hawa utawajua kama ukiwa kwa fast gangs zao wewe unaongelea maandiko gan mdogo wetuKufunga ni lazima kwahiyo waislamu wapo sahihi kiufupi hakuna watu wanaofuata maandiko kuwazidi waislamu,viongozi wa kikristo wanapotosha maandiko kiasi kwamba utakuta wanasigana na maandiko mwisho wa siku uislamu unakuwa kwa kasi
wakristo hawaruhusiwi kujitangaza ndio ndio tofaut ni kosa kubwa mno ku blow coverRamadhan inaonekana inauzito kwasababu waislam wako serious na ibada yao, wenye kwaresma nao wameamua kupoteza muda mwingi kuiongelea ramadhan.
Hapa yenyewe haijulikan kwaresma imeshaanza au bado ila ramadhan ikianza hata mtoto wa darasa la kwanza anajua
Mambo yote ya kidunia huwa maarufuMimi naungana na mtoa mada, niukweli ambao unaonekana, kweli mwezi wa ramadhani ni maarufu sana ulimwenguni. kweresima huwa sielewe kabisa inatokaje make si maarufu hata mtikisiko haina??
Ingekua hawaruhusiwi kujitangaza tusingesikia kuna siku inaitwa jumatano ya majivu.wakristo hawaruhusiwi kujitangaza ndio ndio tofaut ni kosa kubwa mno ku blow cover
Jibu swali ewe muabudu mtu na masanamuNdiyo unachowaza muda wote.
Mtume (SAW) ambaye ndio Mwalimu Mkuu wa dini hii amesistiza utumiaji wa Maziwa/Maji + Tende kokwaa kadhaaMimi nadhani waislamu muondoe kitu kinaitwa Daku kwa sababu ukila saa 10 alfajiri hiyo siku inakuwa kama umebeba jiwe tumboni wakati kiuhalisia mfungo unatakiwa uendane na njaa.
Kumer la mama yakosina ufuasi na dini yeyote ila hapo wakristo wanafanya Ibada na hapo wavaaa kobanzi wanafanya maonesho kama sabasaba.!!
Wakisoma na waelewe.Idea ya kufunga kula Mtume Mohamed aliitoa katika Dini zilizokuwepo wakati ule yaani Ukristo na Uyahudi.
Akabadilisha badilisha na kuongeza vikorombwezo ili umvutie mteja.
Historia tells it all! "Mudi" alikuwa mfanyabiashara maarufu na aliyeheshimiwa na wote akiwa na nembo ya Mtume wa Mungu na hivyo alikuwa ana kauli ya mwisho. Akisema hiki kifanyike hivi na kinafanyika. Unabuni kitu ili ufanye biashara. Kula kwa wingi, kuvaa kwa wingi, kufurahi kwa wingi...all that involves buying and selling!Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.
Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
hii ni inaishiaga kanisani ukionaIngekua hawaruhusiwi kujitangaza tusingesikia kuna siku inaitwa jumatano ya majivu.
Ila Ramadhan ipo kwenye midomo ya watu kuliko kwaresma
Nimekuuliza umeisha barikiwa? Ili nijue namna ya kushughulika na WeweSwali kutoka wapi?
K ni Wewe mkosa rinda mamayerAcha matusi wewe K
Ibada maanake nini?sina ufuasi na dini yeyote ila hapo wakristo wanafanya Ibada na hapo wavaaa kobanzi wanafanya maonesho kama sabasaba.!!
Mungu wenu yesu alifunga siku 40 usiku na mchana bila kula nyiyi hii funga yenu ya kunywa maji kidogo pombe kidogo mneitoa wapi?Wakisoma na waelewe.
Huna ujualo.Mungu wenu yesu alifunga siku 40 usiku na mchana bila kula nyiyi hii funga yenu ya kunywa maji kidogo pombe kidogo mneitoa wapi?
Swali la kijinga sana, hujui kuwa kwaresma sio sawa na ramadhani hivyo havipaswi kulinganishwaKwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote.
Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo
Ramadhan inakutanisha waislam wengi bila kujali matabaka, hafla za kufungua watakutana pamoja mawaziri, wasanii, watu wenye ulemavu, wagonjwa, n.k.
Ramadhan utawaona waislam wenye uwezo kiuchumi wakigawa vyakula bure watoto wa mitaani, wenye shida, n.k.
Umeelewa maana ya kwaresma?Nimekuuliza umeisha barikiwa? Ili nijue namna ya kushughulika na Wewe