Kwanini Lissu akikutana na Mbowe huangalia chini?

Kwanini Lissu akikutana na Mbowe huangalia chini?

unafiki na usaliti ni kitu mbaya sana gentleman,

we cheki hiyo smile yake yenyewe ilivyo ya kimbwa mwitu :pedroP:
Mbowe ndiyo alimgeuka Lisu walikubaliana kila mmoja agombee alipo lakini mbowe akamchomeka wenje Dalali kienyeji tu
 
Back
Top Bottom