Kwanini Lissu ambaye anahubiri kwamba mambo ya umma yawe wazi, alikataa kukutana na Abdul hotelini penye watu wengi akachagua nyumbani kwake sirini?

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa?

Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua kwamba amefanya political blunder ambayo ingetumika kummaliza kisiasa kwa hiyo njia pekee akaona ni kujilipua na kubadili stori?

Soma Pia: Lissu anasema aliwahi kuwasilisha suala la Rushwa ya Abdul na mama yake kwa Kamati Kuu lakini halikujadiliwa zaidi

Je, kwa nini Lissu hataki kufuata njia za ki mahakama kudai Fedha yake, japo yeye ni mwanasheria mzoefu? Anataka marisiti aliyokusanya hovyohovyo yalipwe kwa njia za panya?

Angefuata taratibu tungekuwa hapa?

Mbali na Abdul, Lissu anakutana na watu wangapi wa mfumo kwa siri bila chama kujua?
 
Unajua maana ya mambo ya Umma?

au unajua mambo ya sirini ni yapi?
 
ukweli unaosikia Lissu anaongea ni 1% ya ukweli Halisi..

hawezi kugusa state confidential Secrets.
 
Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa?

Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua kwamba amefanya political blunder ambayo ingetumika kummaliza kisiasa kwa hiyo njia pekee akaona ni kujilipua na kubadili stori?

Je, kwa nini Lissu hataki kufuata njia za ki mahakama kudai Fedha yake, japo yeye ni mwanasheria mzoefu? Anataka marisiti aliyokusanya hovyohovyo yalipwe kwa njia za panya?

Angefuata taratibu tungekuwa hapa?

Mbali na Abdul, Lissu anakutana na watu wangapi wa mfumo bila chama kujua?
Dada ulitaka hapo katikati kabla hajafika hotelini wamuue? Dada yangu Lissu ni Taifa kubwa kinyangarika kama wewe huwezi kumshusha.
 
Mlitegesha watu na mi-camera kila Kona ili kumnasa akienda au kukutana na Dully mkapike uongo .....Sasa kawavuta na kawadaka nyie.
 
Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa?

Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua kwamba amefanya political blunder ambayo ingetumika kummaliza kisiasa kwa hiyo njia pekee akaona ni kujilipua na kubadili stori?

Je, kwa nini Lissu hataki kufuata njia za ki mahakama kudai Fedha yake, japo yeye ni mwanasheria mzoefu? Anataka marisiti aliyokusanya hovyohovyo yalipwe kwa njia za panya?

Angefuata taratibu tungekuwa hapa?

Mbali na Abdul, Lissu anakutana na watu wangapi wa mfumo bila chama kujua?
Hakuna hoja hapa. 🚮
 
Mlitegesha watu na mi-camera kila Kona ili kumnasa akienda au kukutana na Dully mkapike uongo .....Sasa kawavuta na kawadaka nyie.
Kwani pale nyumbani camera hazikuingia au vinasa sauti jinsi alivyokuwa anachekacheka kama mwali wa kimakonde, au mpaka uone camera kubwa kama za Tibisii
 
Unapanic Nini Kamanda ?
 
Huu uzi ni takataka hauna maana yoyote.badala ya kushukuru mtu amekupa taarifa wewe unataka kumpangia cha kufanya.mleta uzi uache kukurupuka fikiria kwanza.sisi huyu mwambaa tunamshukuru saana ametufungua wengi kwenye vifungo vya DJ na mama Abdul na ndio maana nyie chawa mtateseka saana Moto wa Lisu hamuwezi mtaungua wenyewe.
 
"Watakuja na kushika na kuzungumzia vitu vidogo vidogo ili kujipatia uhalali....legitimate uhalali"
 
Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa?

Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua kwamba amefanya political blunder ambayo ingetumika kummaliza kisiasa kwa hiyo njia pekee akaona ni kujilipua na kubadili stori?

Je, kwa nini Lissu hataki kufuata njia za ki mahakama kudai Fedha yake, japo yeye ni mwanasheria mzoefu? Anataka marisiti aliyokusanya hovyohovyo yalipwe kwa njia za panya?

Angefuata taratibu tungekuwa hapa?

Mbali na Abdul, Lissu anakutana na watu wangapi wa mfumo bila chama kujua?
kibaraka amedhulumiwa kifikra na kisiasa kisayansi sana, na makachero waliomzunguka na saa zingine anaodai ni watu wakubwa nchi hii wanaompigiaga simu, eti kumjulisha mambo mbalimbali, mathalani kwamba eti ajiongezee ulinzi anafuatiliwa na watu wenye nia mbaya :pedroP:
nani sasa atamfuatilia mtu hata pa kula hajui atakula wap?

na kuna makachero wengine wamemshauri kwamba tiketi ya ndege atembee nayo asiiache nyumbani, ili siku ikifika kisayasi wamtishie na kumkurupusha mpaka airport kwamba hali ni mbaya:pedroP:

kumbe maskini wanataka tu muungwana apoteze maboya kisiasa nchini.
 
Sinapaniki, uongozi wa chama uupate kwa hoja, sio kupakana matope
Chiembe umeanza lini kufngamana na Mbowe ?
Lisu Hana hoja ? Hii isingefanya hata wewe kuwa bize na Lisu kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom