chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Haya mambo yanahitaji akili ya ziada ya kuishinda laghai, kwa nini Lissu aliogopa kukutana na Abdul hotelini, sehemu ya wazi ya watu wengi akachagua mafichoni? Alikuwa anaficha nini? Je, viongozi wake wakuu wa chama walikuwa na taarifa?
Inawezekana Lissu, baada ya kukutana na Abdul, aligundua kwamba amefanya political blunder ambayo ingetumika kummaliza kisiasa kwa hiyo njia pekee akaona ni kujilipua na kubadili stori?
Soma Pia: Lissu anasema aliwahi kuwasilisha suala la Rushwa ya Abdul na mama yake kwa Kamati Kuu lakini halikujadiliwa zaidi
Je, kwa nini Lissu hataki kufuata njia za ki mahakama kudai Fedha yake, japo yeye ni mwanasheria mzoefu? Anataka marisiti aliyokusanya hovyohovyo yalipwe kwa njia za panya?
Angefuata taratibu tungekuwa hapa?
Mbali na Abdul, Lissu anakutana na watu wangapi wa mfumo kwa siri bila chama kujua?