Kwanini lissu anapenda kutumia NENO kuwakaanga mashahidi?

Kiboko ya Mazwazwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2026
Posts
1,802
Reaction score
3,271
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
 
Ni mtu anayependa ushari na vagi

Na hiyo ndio nasaba yake - which works for him
 
Kwa sababu wanasema Uongo. Ushahidi wa kutunga, anajua kuwa atakupiga maswali at the end of the day utajidhihirisha kuwa ushahidi wako ni uongo and therefore discredited
 
Sasa asiwakaange na kuwapiga miti kwa sababu gani na huwa wamelishwa matango pori wakifika kwa mwanasheria majibu yanakauka mdomoni maana walichotegemea sicho wanachokutana nacho! Hapo ndo tunaona tunaongozwa na mamlaka bogazzz hata namna ya kumtungia mtu tuhuma hawajui gademiti take it or leave it😝😝 they berra watch their buttocs 🤣🤣🤣
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Ni technique tu ya kuwa terrorize au kuwa agitate mashahidi. All in all siyo kila swali linasaidia kushinda kesi. In short hakuna marking scheme ila Jaji ndiyo anajuwa majibu gani yana mantiki
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Tundu Lissu Anachiwafanyia mashahidi wa sisiyemu ni zaidi ya kuwakaanga, ni Crucifixion ya hali ya juu
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Kwani wewe ushaona hao mashahidi wamekuwa mishikaki au nyama choma?
 
Ni mtu anayependa ushari na vagi

Na hiyo ndio nasaba yake - which works for him
Mkuu nimewaona mawakili nguli wengi kwenye mahakama na hii ndio huruka yao ni njia mojawapo ya kumtoa mstari shahidi au mtuhumiwa wa upande wa pili na mara nyingi wale ambaohawana taaluma ya sheria huingia mkenge kwa kukasirika na kuona maswali ya mawakili kama Lissu ni maswali ya hovyo na kuudhi na hatimae kuja shtuka wanajikuta wamesema yale ambayo hayakustahili kusemwa kama wewe umezaliwa kipindi cha TANU basi hayo ya Lissu ndio yalikuwa ya akina Muccadam,Lakha,Lamwai, Orengo, Khaminwa wa Kenya na wengineo wengi walio mahiri katika fani,wana lugha za kejeli na kujiamini pia wanavutia wakianza kuhoji, mwanafunzi mwingine wa Lissu kwenye sheria ni Madeleka, namuona Madeleka kama Lissu ajae.
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Alishacheza game nyingi sana na timu hiyo anazijua mbinu zake na kocha wa timu bado ni yuleyule, kwa hiyo full kuijiamini anaweza kumili ball au akae nyuma huku akishambulia kwa kustukiza zote zinalipa! Watu oyoooooh ⛹️‍♂️⛹️‍♂️⛹️‍♂️⛹️‍♂️⛹️‍♂️
 
Back
Top Bottom