Wewe hio ni fashion,huoni wanavyotoa mimacho shahidi wenu?Kwani wewe ushaona hao mashahidi wamekuwa mishikaki au nyama choma?
Wewe hio ni fashion,huoni wanavyotoa mimacho shahidi wenu?Kwani wewe ushaona hao mashahidi wamekuwa mishikaki au nyama choma?
Hapo ndio kukaangwa? Na maana ya kukinukisha anayoikataa Lissu ni ipi?Wewe hio ni fashion,huoni wanavyotoa mimacho shahidi wenu?
Umewahi kusikia kitu kiitwacho kujikaanga kwa mafuta yako? Basi yeye anawakaanga kwa mafuta yao. Pia hiyo ni lugha ya kukutoa mchezoni kisaikolojia. Juu ya yote Lisu ni mtu wa lugha za maudhi, kama uko kinyume naye atakupandisha hasira sana. Dhalimj Magu akiona isiwe tabu akaagiza apigwe pipe.wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Maana yake ni kuwagonga machawa kama wewe waliowekwa kwenye mabox kama tetere.Hapo ndio kukaangwa? Na maana ya kukinukisha anayoikataa Lissu ni ipi?
Ahahahahaha! Kati ya Mimi na Lissu nani yumo ndani ya box kama tetere? Ahahahahaha!!Maana yake ni kuwagonga machawa kama wewe waliowekwa kwenye mabox kama tetere.
Nashukuru sana umenielewaMkuu nimewaona mawakili nguli wengi kwenye mahakama na hii ndio huruka yao ni njia mojawapo ya kumtoa mstari shahidi au mtuhumiwa wa upande wa pili na mara nyingi wale ambaohawana taaluma ya sheria huingia mkenge kwa kukasirika na kuona maswali ya mawakili kama Lissu ni maswali ya hovyo na kuudhi na hatimae kuja shtuka wanajikuta wamesema yale ambayo hayakustahili kusemwa kama wewe umezaliwa kipindi cha TANU basi hayo ya Lissu ndio yalikuwa ya akina Muccadam,Lakha,Lamwai, Orengo, Khaminwa wa Kenya na wengineo wengi walio mahiri katika fani,wana lugha za kejeli na kujiamini pia wanavutia wakianza kuhoji, mwanafunzi mwingine wa Lissu kwenye sheria ni Madeleka, namuona Madeleka kama Lissu ajae.
Ni technique tu ya kuwa terrorize au kuwa agitate mashahidi. All in all siyo kila swali linasaidia kushinda kesi. In short hakuna marking scheme ila Jaji ndiyo anajuwa majibu gani yana mantiki
Kwa sababu ni watamu.wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Anajua yule sio kama bibi yako.Academic arrogance
ANAYEPENDA SHARI ni yeye au ambao huwa wanamuonea?Ni mtu anayependa ushari na vagi
Na hiyo ndio nasaba yake - which works for him
Kawaulize mashahidi wenu wale machoko wenzio walikaangwa wakiwa kwenye nini nenda kawaulize kama watarudia tena huo ujinga.Ahahahahaha! Kati ya Mimi na Lissu nani yumo ndani ya box kama tetere? Ahahahahaha!!
Mi nipo nakunywa Konyagi nasubiria mechi ya Ngao ya Hisani. Lissu anafanya nini zaidi ya kulala ndani ya box? Ahahahahaha!!
Atakaponyongwa Lissu baada ya kutiwa hatiani ndio na ninyi mtatia akili! Subiri muone.Kawaulize mashahidi wenu wale machoko wenzio walikaangwa wakiwa kwenye nini nenda kawaulize kama watarudia tena huo ujinga.
Nyie nguruwe wa Samia mkikaa huko kwenye makorido ya Lumumba ndio Huwa mnajifariji kama mafala hivyo kumbe, Kwa akili yenu hadi sasa mnaamini Lissu atanyongwa. Kwamba mens Rea na Actus reus kwenye kesi zimekamilika, nyie kweli muendelee kuitwa nguruwe tu.Atakaponyongwa Lissu baada ya kutiwa hatiani ndio na ninyi mtatia akili! Subiri muone.
😂😂😂😂😂Kwa sababu ni watamu.
Kama ninyi mnavyoamini Lissu hana hatia na aachiwe huru ndivyo mimi ninavyoamini ana hatia na anyongwe hadi kufa. Kosa langu ni lipi hapo?Nyie nguruwe wa Samia mkikaa huko kwenye makorido ya Lumumba ndio Huwa mnajifariji kama mafala hivyo kumbe, Kwa akili yenu hadi sasa mnaamini Lissu atanyongwa. Kwamba mens Rea na Actus reus kwenye kesi zimekamilika, nyie kweli muendelee kuitwa nguruwe tu.