Kwanini lissu anapenda kutumia NENO kuwakaanga mashahidi?

Madeleka huwa anasema Lissu huko Mahakamani anawapiga kavukavu.
 
Ona shahidi wa leo alivyo fala, unakuja na identity ya kubumba. Anaulizwa amechunguza kesi gani nyuma-akaitaja. Akasahau kama kuitaja hiyo kesi anakuwa kajikaanga maana kule ana utambulisho mwingine
 
Kama ninyi mnavyoamini Lissu hana hatia na aachiwe huru ndivyo mimi ninavyoamini ana hatia na anyongwe hadi kufa. Kosa langu ni lipi hapo?
Nyinyi nguruwe mnafahamu kuwa kesi ina two ingredients ambazo ni mens Rea na Actus reus au Kwa sababu ya ujinga wenu mmeshindwa hata kujielimisha mmebakia kufugwa kwenye makorido ya Lumumba na kukoment ujinga mitandaoni. Kwa taarifa yenu jiandaen kisaikolojia siku nchi ikikombolewa mchague kukimbia nchi au muishie jela.
 
Anawatoa confidence tu...

Ni kama alivyotamka maneno kwamba "atakinukisha", ilikuwa kumtoa mtu fulani kwenye reli na mtu huyo akaishia kumpeleka kwa pilato...
In the end muhusika akatoka kwenye reli, now ana deal na nuclear fallout na kujisafisha maana katia bonge landoa
 
Atakaponyongwa Lissu baada ya kutiwa hatiani ndio na ninyi mtatia akili! Subiri muone.
Kwa trend inayoendelea hiyo hatia hawatomkuga nayo labda wabadili mashtaka

Mashahidi wa jamhuri ni wa hovyo kuwahi kutokea
 
Nyinyi nguruwe mnafahamu kuwa kesi ina two ingredients ambazo ni mens Rea na Actus reus au Kwa sababu ya ujinga wenu mmeshindwa hata kujielimisha mmebakia kufugwa kwenye makorido ya Lumumba na kukoment ujinga mitandaoni. Kwa taarifa yenu jiandaen kisaikolojia siku nchi ikikombolewa mchague kukimbia nchi au muishie jela.
Wewe na akina Lissu ndio wagonjwa. Mnahitaji psychiatrist awasaide kuondoka a na mawazo ya kufikiri eti mtaikomboa nchi hii. Hii nchi ni HURU!
 
Siku nchi tukiikomboa tutawabamiza na kizazi chenu chote hakitaonekana hiyo nakutaarifu mapema, Koo zenu zote hazitaonekana duniani nguruwe nyinyi.
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Hakuna jambo gumu kama lile la kutoa ushahidi wa uongo mahakamani!

Ukikutana na watu wenye akili nyingi kama Lissu lazima watakuingiza kwenye mtego. Kule kunasa ndiyo kukaangwa kwenyewe. Utajikuta majibu yako ni haya hapa "sielewi, sijui, hapana, hayapo, haipo, siyo mimi, sikuwepo, nk."
 
Ni mtu anayependa ushari na vagi

Na hiyo ndio nasaba yake - which works for him
Shida mlifikiri Lissu ni Mbowe! Mkasahau Mbowe ni mfanyabiashara na Lissu ni mwanaharakati by nature. Yeye hii sasa ndiyo raha yake! Kuwakaanga kwa mafuta yenu wenyewe. He is a true Patriot, Son of Tanganyika

Lissu ukimuambia achague kati ya begi lililojaa hela (kama lile alilopelekewa nyumbani kwake na Abdul aliyesindikizwa na Wenje) au kuitetea haki, mwamba atachagua upande wa kutetea haki! Kwa hali hii acheni tu Watanganyika tunaojitambua, tumkubali huyu Mwamba.
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Mahakamani sio kanisani.... lazima watu waende wakiwa wamejipanga. Na kauli za kukera ni sehemu ya kumtikisa mpinzani
 
Shida mlifikiri Lissu ni Mbowe! Mkasahau Mbowe ni mfanyabiashara na Lissu ni mwanaharakati by nature. Yeye hii sasa ndiyo raha yake! Kuwakaanga kwa mafuta yenu wenyewe. He is a true Patriot, Son of Tanganyika

Lissu ukimuambia achague kati begi lililojaa hela na kuitetea haki, mwamba atachagua upande wa wa haki! Kwa hali hii acheni tu Watanganyika tunaojitambua, tumkubali.
Wengi wamemjua juzi... Lissu mara ya kwanza aliwekwa ndani na serikali ya Mkapa 1999 akitetea wananchi waliokuwa wameporwa maeneo yao ili wapewe wazungu kuchimba dhahabu huko Shinyanga.

Jamaa angeamua tu kuwa tajiri kwa kufanya kazi ya uwakili angekuwa bilionea
 
Shida mlifikiri Lissu ni Mbowe! Mkasahau Mbowe ni mfanyabiashara na Lissu ni mwanaharakati by nature. Yeye hii sasa ndiyo raha yake! Kuwakaanga kwa mafuta yenu wenyewe. He is a true Patriot, Son of Tanganyika

Lissu ukimuambia achague kati ya begi lililojaa hela (kama lile alilopelekewa nyumbani kwake na Abdul aliyesindikizwa na Wenje) au kuitetea haki, mwamba atachagua upande wa kutetea haki! Kwa hali hii acheni tu Watanganyika tunaojitambua, tumkubali huyu Mwamba.
Hujaelewa mantiki
 
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Na wewe ni mwehu km huyo kibaraka cha wazungu, Lissu ameshawehuka gerezani siyo mchezo
 
Back
Top Bottom