Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Ni mtu anayependa ushari na vagiwadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Kwa sababu wanasema Uongo. Ushahidi wa kutunga, anajua kuwa atakupiga maswali at the end of the day utajidhihirisha kuwa ushahidi wako ni uongo and therefore discreditedwadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Not half, fully cooked kusema uongo amnao ukimbana na maswali anaonekana ni shahidi mwongo. Ushahidi wake unatupwaKwa sababu mashahidi wengi wa Jamhuri huwaga wanakuja mahakamani wakiwa half cooked.
wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga?
Uko sahihi, uzuri wa Lissu ana high temperature legal fire. Hata uwe umepikwa vipi, maswali yake yakianza ni kama kuwekwa kwenye air fryer lazima uungue na ukweli uwe wazi.Not half, fully cooked kusema uongo amnao ukimbana na maswali anaonekana ni shahidi mwongo. Ushahidi wake unatupwa
Chawa peleka comment yako Kwa mtukana wazee yule Happy aliyesema wazee muda wao umeisha.Ni mtu anayependa ushari na vagi
Na hiyo ndio nasaba yake - which works for him
Ni technique tu ya kuwa terrorize au kuwa agitate mashahidi. All in all siyo kila swali linasaidia kushinda kesi. In short hakuna marking scheme ila Jaji ndiyo anajuwa majibu gani yana mantikiwadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Tundu Lissu Anachiwafanyia mashahidi wa sisiyemu ni zaidi ya kuwakaanga, ni Crucifixion ya hali ya juuwadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Huwezi kunielewaChawa peleka comment yako Kwa mtukana wazee yule Happy aliyesema wazee muda wao umeisha.
Kwani wewe ushaona hao mashahidi wamekuwa mishikaki au nyama choma?wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.
Hilo swali kamuulize mamako, hapa nataka majibu kutoka sober minds pekee.Kwani wewe ushaona hao mashahidi wamekuwa mishikaki au nyama choma?
Basi samahani mkuu.Huwezi kunielewa
Mkuu nimewaona mawakili nguli wengi kwenye mahakama na hii ndio huruka yao ni njia mojawapo ya kumtoa mstari shahidi au mtuhumiwa wa upande wa pili na mara nyingi wale ambaohawana taaluma ya sheria huingia mkenge kwa kukasirika na kuona maswali ya mawakili kama Lissu ni maswali ya hovyo na kuudhi na hatimae kuja shtuka wanajikuta wamesema yale ambayo hayakustahili kusemwa kama wewe umezaliwa kipindi cha TANU basi hayo ya Lissu ndio yalikuwa ya akina Muccadam,Lakha,Lamwai, Orengo, Khaminwa wa Kenya na wengineo wengi walio mahiri katika fani,wana lugha za kejeli na kujiamini pia wanavutia wakianza kuhoji, mwanafunzi mwingine wa Lissu kwenye sheria ni Madeleka, namuona Madeleka kama Lissu ajae.Ni mtu anayependa ushari na vagi
Na hiyo ndio nasaba yake - which works for him
Alishacheza game nyingi sana na timu hiyo anazijua mbinu zake na kocha wa timu bado ni yuleyule, kwa hiyo full kuijiamini anaweza kumili ball au akae nyuma huku akishambulia kwa kustukiza zote zinalipa! Watu oyoooooh ⛹️♂️⛹️♂️⛹️♂️⛹️♂️⛹️♂️wadau za mchana? naomba kuuliza kwanini lissu anapokuwa mahakamani anapenda kuwambia mshahidi wa jamhuri kuwa atawakaanga? naomba jibu wadai. Machawa yaliyozoea kufugwa kwenye makorido ya lumumba yapeleke uharo wao kwa ally happy aliyetukana wazee akiwa mkuu wa mkoa Iringa kuwa muda wao umeisha akimaanisha makamba na kinana.