Kwanini lissu anapenda kutumia NENO kuwakaanga mashahidi?

kwa sababu kweli wakitoka pale wananukia ka bisi zilizoungua
 
Sababu wanakuja hawajaiva , wamepikwa kwa uongo sasa ili waliwe lazima waivishwe kwenye mafuta na moto mkali sio wa wastani.

Mfano bila kutumia lile sanduku la kuficha mashahidi wasionekane wakaitwa wa siri Yericko Nyerere angeweza kujibu maswali ya Lissu?
 
Umewahi kusikia kitu kiitwacho kujikaanga kwa mafuta yako? Basi yeye anawakaanga kwa mafuta yao. Pia hiyo ni lugha ya kukutoa mchezoni kisaikolojia. Juu ya yote Lisu ni mtu wa lugha za maudhi, kama uko kinyume naye atakupandisha hasira sana. Dhalimj Magu akiona isiwe tabu akaagiza apigwe pipe.
 
Maana yake ni kuwagonga machawa kama wewe waliowekwa kwenye mabox kama tetere.
Ahahahahaha! Kati ya Mimi na Lissu nani yumo ndani ya box kama tetere? Ahahahahaha!!
Mi nipo nakunywa Konyagi nasubiria mechi ya Ngao ya Hisani. Lissu anafanya nini zaidi ya kulala ndani ya box? Ahahahahaha!!
 
Nashukuru sana umenielewa

Mwamba ana offensive strategy na hata akina nyaucho waliitumia
 
Ni technique tu ya kuwa terrorize au kuwa agitate mashahidi. All in all siyo kila swali linasaidia kushinda kesi. In short hakuna marking scheme ila Jaji ndiyo anajuwa majibu gani yana mantiki


Hata kama majaji wanafahamu majibu yenye mantiki, katika kesi hii ya Lisu, ikiwa majaji watatoa uamuzi usioendana na ushahidi uliowasilishwa na upande wa Jamhuri, nitajua wazi kuwa tuna mahakama za hovyo sana.

Inshort hii kesi ni ya Samia dhidi ya Lisu, maana Samia anataka kumuonyesha Lisu kuwa yeye ni nani kwani tuna katiba ya kipuuzi mno. Hiki alichokifanya sasa Samia, alikifanya kwa Mbowe na akafanikiwa, lakini si kila siku ni ijumaa. Na amemkuta Lisu anajua sheria, na haogopi lolote. Ni dhahiri Lisu ameshawamwaga, ila inatafutwa njia isionakane Lisu kawashinda maana wanajua Lisu alivyo na ushawishi. na lugha za kejeli.

Wasiwasi wangu ni kuwa Lisu akitoka hatakubali maridhiano ya ulaghai, na asipokubali naona kabisa Samia akitumia ile mbinu ya Magu ya kumshambulia kwa risasi, maana Samia ni muigaji hadi akaiga zile zile mbinu za kijinga za Magu kupora chaguzi, na sasa ameanza kuiga kuita wafanyabiashara live watoe ushauri.
 
Kwa sababu ni watamu.
 
Ahahahahaha! Kati ya Mimi na Lissu nani yumo ndani ya box kama tetere? Ahahahahaha!!
Mi nipo nakunywa Konyagi nasubiria mechi ya Ngao ya Hisani. Lissu anafanya nini zaidi ya kulala ndani ya box? Ahahahahaha!!
Kawaulize mashahidi wenu wale machoko wenzio walikaangwa wakiwa kwenye nini nenda kawaulize kama watarudia tena huo ujinga.
 
Atakaponyongwa Lissu baada ya kutiwa hatiani ndio na ninyi mtatia akili! Subiri muone.
Nyie nguruwe wa Samia mkikaa huko kwenye makorido ya Lumumba ndio Huwa mnajifariji kama mafala hivyo kumbe, Kwa akili yenu hadi sasa mnaamini Lissu atanyongwa. Kwamba mens Rea na Actus reus kwenye kesi zimekamilika, nyie kweli muendelee kuitwa nguruwe tu.
 
Kama ninyi mnavyoamini Lissu hana hatia na aachiwe huru ndivyo mimi ninavyoamini ana hatia na anyongwe hadi kufa. Kosa langu ni lipi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…