Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wananzengo.

Nimekua nikijiuliza sana jambo hili bt ukweli sijapata majibu ya uhakika hivo nikaona nililete hapa tulijadili wakuu.

Mimi pia ni mhanga wa jambo hili nimeoa mwanamke mzuri wa kawaida na si mzuri wa first class kama yalivokua matarajio yangu awali, bt nampenda sana na inshort amefit sana ktk mfumo wa maisha yangu.

Je, kwa mtizamo wako unadhani jambo hili husababishwa na nini?
 
Uzuri wa mwanamke ni kipimo cha macho yako,we iweke ti vizuri kabati kubwa na ndogo,utapata mrejesho.
 
Kwahiyo na wewe ni Hendisamu ?

SEAL.jpg


SEAL2.jpg
 
Wanapendwa Sana na wabaya Sasa wazuri wanawakwepa kwa sababu ya kuchukuliwa na wanawake wengine lkn mwenye sura ya Kati au mbaya kwake sifa kupata hs mengine baadaye

Licha kuwa hakuna aliyeumbwa kwa sura mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kauli yako ya mwisho ifute naona hujawahi kutana na visa na mikasa wewe
 
Hili swala kuna uzi wa miaka mingi lisha jadiliwa na tukapata muafaka kuwa......vice versa is true hata wanawake na wenyewe wenye sura ngumu huwa wanapambana kwa hali na mali kwa fedha au chochote ili wan'goe ma HB wa kuwaoa ndiyo maana una ona wengi wao wamenasa kwa wanawake gara garauka mpaka ndoa na ndiyo imetoka hiyo.
 
Kwa kawaida wazuri wote huwa Wana options nyingi...

Kwahiyo ni ngumu kwao Ku put up na maringo na maudhi ya mtu mmoja huku akitazama pembeni kuna wengine wanamtaka..

Hii inaenda Kwa jinsia zote...

Tofauti na wale ugly au wa kawaida hujitoa sana kutopoteza huyo mzuri aliempata..


Huwezi kuwa handsome ambae wadada kibao wanakutaka halafu ukawa commited sana na mmoja na kuvumilia kila kitu..

Utampiga chini fast utafute atakae kuvumilia wewe mapungufu yako
 
Back
Top Bottom