Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

Uzuri ukiwa HB watoto kama ni wa kwako lazima watafanana na wewe tu,

California love
 
1.Mwanaume kuitwa au kujiona handsome
ni sifa ya KIJINGA sana
2. Uzuri wa mwanamke kuishi nae katika
maisha ya ndoa haupo kwenye
muonekano wa sura yake. Waulize
waliochagua kwa sura sasa hivi ndoa zao zina halo gani!!
 
Mtazamo tu, kama ni handsome ni handsome tu! Ni muonekano tu kama mnavyokuwa proud na masculine body hivyo hivyo kuwa proud na uzuri si kitu kibaya
 
Wanawake wa kawaida hadi wabaya wengi wao ni iwife material sana, wana tabia nzuri, wavumilivu, wanyenyekevu wana akili ya maisha na yote tisa kumi na ambayo hasa wanaolewa na hao mahandsome ni hao wanawake mileage yao inakuwa haijaenda sana kama hao wazuri ambao wengi mileage imeenda(mapango/mabwawa) miksa mimaji na miharufu ya ajabu, ingawa pia sio wote ila wengi wao. Na sio sababu hatupigi kazi, tunapiga kazi vizuri sana kuanzia za chumbani hadi za kufanya watoto wakimbizane kwenda chooni.
 
Tatizo lao ni kutumia u-handsome wao kusubiri kufatwa na wasichana. Mwisho wa siku wanajikuta wanafatwa na wasichana wa kawaida na ambao wengi wao huwa mara nyingi kifedha wako vizuri eidha wao au kwao. So anajikuta kaoa mwanamke wa kawaida saana.
 
Mtazamo tu, kama ni handsome ni handsome tu! Ni muonekano tu kama mnavyokuwa proud na masculine body hivyo hivyo kuwa proud na uzuri si kitu kibaya
Kuitwa au kujiita handsome ni sifa za kijinga pia inaweza kuwa dalili mbaya.
 
Wanawake wa kawaida hadi wabaya wengi wao ni iwife material sana, wana tabia nzuri, wavumilivu, wanyenyekevu wana akili ya maisha na yote tisa kumi na ambayo hasa wanaolewa na hao mahandsome ni hao wanawake mileage yao inakuwa haijaenda sana kama hao wazuri ambao wengi mileage imeenda(mapango/mabwawa) miksa mimaji na miharufu ya ajabu, ingawa pia sio wote ila wengi wao. Na sio sababu hatupigi kazi, tunapiga kazi vizuri sana kuanzia za chumbani hadi za kufanya watoto wakimbizane kwenda chooni.
Huwa nafurahi sana nikisoma comments za hivi😀😀😀😀😀
It shows how narrow minded some pips are, kwamba harufu zinasababishwa na nini ati?, mapango na mabwawa yanasababishwa na nini tena?😀😀
 
Nna dem hata kumtambulisha kwa washkaji naona noma hawataamini..kafupii ila tako na miuono kanayonipa dah nimepagawa sidhan kama ntakaacha..!
 
Nna dem hata kumtambulisha kwa washkaji naona noma hawataamini..kafupii ila tako na miuono kanayonipa dah nimepagawa sidhan kama ntakaacha..!
kama umemwelewa na ni wife material mtambulishe hao ndo wanawake wajenga miji mkuu
 
Hili suala lina asilimia nyingi sana za ukweli...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1.Mwanaume kuitwa au kujiona handsome
ni sifa ya KIJINGA sana
2. Uzuri wa mwanamke kuishi nae katika
maisha ya ndoa haupo kwenye
muonekano wa sura yake. Waulize
waliochagua kwa sura sasa hivi ndoa zao zina halo gani!!
mkuu kama mtu ni hb ajiite mbaya? mbona hiyo sifa ndo uhalisia wake
 
Husababishwa na umarioo....vijana wengi wenye sura za mama zao sio watafutaji sana kwa hyo wanadate na wanawake wa kawaida ambao kikawaida ni wapambanaji kwa hyo hapo wanabadilishana majukumu...sura ya mke anakua nayo mume na kazi za mume anafanya mama.[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
mtizamo usio na uhalisia mkuu bt nadhani jambo hili ni nature ya uumbaji tu na siri yake anayo mungu
 
Back
Top Bottom