- Thread starter
- #41
umejibu kiufundi zaidi na inawezekana likawa jibu sahh mkuu-Kwenye ku-date tunaangalia uzuri na urembo
-Kwenye kuoa tunaangalia tabia na maadili.
umejibu kiufundi zaidi na inawezekana likawa jibu sahh mkuu-Kwenye ku-date tunaangalia uzuri na urembo
-Kwenye kuoa tunaangalia tabia na maadili.
mkuu kama mungu kakujalia sura mbaya mshukuru pia maana alijua akikupa uzuri utakritisaiz watu
hapa hapa mkuu, lengo nikujifunza
dada we mkorofi bt ka hutojali nikaribishe pm dini inaruhusu kuongeza mkeMcomment kwa ustaarabu musije mkafanya handisamu wetu mtoa mada akwazike
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba Seal mwenye moja na mbili[emoji4][emoji4]Uncle Seal.....
nimejibu tayariHajajibu tu bado??
ukweli mtupu na ikiwa kinyume chake ujue unachapiwaUzuri ukiwa HB watoto kama ni wa kwako lazima watafanana na wewe tu,
California love
Nimejibu kwa lugha ya picha.Hajajibu tu bado??
Yap Jamaa namkubali sana!!Uncle Seal.....
Uzuri upo machoni kwa mtu mkuu!!! Wakati tunasoma kuna jamaa ndio tulikuwa tunamuona hendisamu kinoma ila sasa nikivuta picha yake na kuangalia namuona wa kawaida tu!! Handsome bongo wapo wachache sana,vigezo vya kuwa Handsome lazima kwanza uwe na sura ya mama eg uwe mrembo kabisa yaani sura ya kike huyo ndio handsome lakini ukiwa na sura ya kawaida kisha unapiga wave,unapiga scrub na suba black na mapoooda kisha unasema hendisamu ni miyeyusho tu,hata HAMORAPA akijipiga mekapu anakuwa HENDISAMU.mkuu kama mungu kakujalia sura mbaya mshukuru pia maana alijua akikupa uzuri utakritisaiz watu
Nyie huwa kwa ajili ya outing tu,wakati mkiwa bize na papuchi qkina Remy ongala wanakuwa bize kwenye zegeNatumai hamjambo wananzengo.
Nimekua nikijiuliza sana jambo hili bt ukweli sijapata majibu ya uhakika hivo nikaona nililete hapa tulijadili wakuu.
Mimi pia ni mhanga wa jambo hili nimeoa mwanamke mzuri wa kawaida na si mzuri wa first class kama yalivokua matarajio yangu awali, bt nampenda sana na inshort amefit sana ktk mfumo wa maisha yangu.
Je, kwa mtizamo wako unadhani jambo hili husababishwa na nini?
Eeeeeeh niwe mke wa pili???? Unanishawishi na nini? Maana kuwa mke wa pili si mchezodada we mkorofi bt ka hutojali nikaribishe pm dini inaruhusu kuongeza mke
Angekuwa sio maarufu au asingekuwa na hela. U hensam angeusikia tu
Naunga mkono hojasisi ma handsome uwa tunaangalia sana chura.na wenye chura wengi wana sura mbovu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabidani mtazamo...