Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

Natumai hamjambo wananzengo.

Nimekua nikijiuliza sana jambo hili bt ukweli sijapata majibu ya uhakika hivo nikaona nililete hapa tulijadili wakuu.

Mimi pia ni mhanga wa jambo hili nimeoa mwanamke mzuri wa kawaida na si mzuri wa first class kama yalivokua matarajio yangu awali, bt nampenda sana na inshort amefit sana ktk mfumo wa maisha yangu.

Je, kwa mtizamo wako unadhani jambo hili husababishwa na nini?
.


Jr[emoji769]
 
A
Husababishwa na umarioo....vijana wengi wenye sura za mama zao sio watafutaji sana kwa hyo wanadate na wanawake wa kawaida ambao kikawaida ni wapambanaji kwa hyo hapo wanabadilishana majukumu...sura ya mke anakua nayo mume na kazi za mume anafanya mama.[emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani handsome ni kufanana sura na mama?
 
Watu wanadhani uhandsome mara nyingi ni kuwa mweupe
Bahat mbaya ME weupe wengi wanawapenda mademu weusi (ambao mnadhani kuwa sio wazuri)
 
Back
Top Bottom