Hiyo kauli yako ya mwisho ifute naona hujawahi kutana na visa na mikasa weweWanapendwa Sana na wabaya Sasa wazuri wanawakwepa kwa sababu ya kuchukuliwa na wanawake wengine lkn mwenye sura ya Kati au mbaya kwake sifa kupata hs mengine baadaye
Licha kuwa hakuna aliyeumbwa kwa sura mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Super answerHusababishwa na umarioo....vijana wengi wenye sura za mama zao sio watafutaji sana kwa hyo wanadate na wanawake wa kawaida ambao kikawaida ni wapambanaji kwa hyo hapo wanabadilishana majukumu...sura ya mke anakua nayo mume na kazi za mume anafanya mama.[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajajibu tu bado??
Mcomment kwa ustaarabu musije mkafanya handisamu wetu mtoa mada akwazike