Kwanini ma handsome wengi huishia kuoa wanawake wakawaida

Kwenye ndoa unatafuta mke na mama wa familia.
Mwanamke ambaye hata serikali ikikupeleka Kigoma bado utabaki na amani na uhakika wa mwanamke kusimamia nyumba pamoja na watoto vyema nyumbani.
Maadili mema kwa watoto; mwanamke miaka 35 bado anashinda bar au pub, ana mashosti na marafiki wilaya zote za Dar es Salaam, anashinda Instagram hapo unapata hasara ya kizazi chako.
Hao warembo huwa wanaendelea kupigwa kama mpango wa kando kwa hao unaowaita wanaume wenye sura nzuri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu kama mungu kakujalia sura mbaya mshukuru pia maana alijua akikupa uzuri utakritisaiz watu
Uzuri upo machoni kwa mtu mkuu!!! Wakati tunasoma kuna jamaa ndio tulikuwa tunamuona hendisamu kinoma ila sasa nikivuta picha yake na kuangalia namuona wa kawaida tu!! Handsome bongo wapo wachache sana,vigezo vya kuwa Handsome lazima kwanza uwe na sura ya mama eg uwe mrembo kabisa yaani sura ya kike huyo ndio handsome lakini ukiwa na sura ya kawaida kisha unapiga wave,unapiga scrub na suba black na mapoooda kisha unasema hendisamu ni miyeyusho tu,hata HAMORAPA akijipiga mekapu anakuwa HENDISAMU.
 
Nyie huwa kwa ajili ya outing tu,wakati mkiwa bize na papuchi qkina Remy ongala wanakuwa bize kwenye zege
 
Tunaoa mademu wa kawaida ili watunze familia zetu
Huku sisi tukiendelea kuwachakata pembeni hao mademu wanaojiita warembo
Demu anashinda insta mikucha Kama mchawi kila weekend saloon kupika hajui heshima ya mke Hana
Sasa naanzaje kumuweka ndani demu kama huyo!
NB: MADEMU WAZURI MTAENDELEA KUWA MICHEPUKO TUU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu mahandsome hatutaki kuchapiwa. 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…