Kwanini Mabasi makubwa huwekwa silencer kwa muda mrefu sana?

Kwanini Mabasi makubwa huwekwa silencer kwa muda mrefu sana?

JMC Pia yuko vizuri mbona ngoja this timw nipande hii Gari nionje hiyo Radha wanayoisifu watu.
ABC wako vizuri sana kwa huduma na wanajali muda.

Madereva wanaendesha kwa uangalifu sana, tangu nianze kuisikia na kuanza kuipanda miaka ya 2012, sijasikia kuhusu tatizo la kukwama njiani au kupata hitilafu kidogo kwenye gari zao.
 
Yote Sawa ila pia abiria wa Tz wabishi Sana, hakuna abiria Yuko comfortable kupanda gari iko off ....

Wakiona imezima wanazani haiendi.
 
Ha ha mkuu,sina sababu yoyote ya kuitangaza ABC nimeamua kutumia kama mfani tu japo mimi pia ni mteja wa kawaida tu kwakua hua naitumia mara kwa mara kwa safari za Singida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tujadili mada yako ya Awali ila Nashauri iende pamoja na Mada ya Matangazo maana picha uliyoweka ni ya Bus kali lenye huduma nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom