Kwanini Mabasi makubwa huwekwa silencer kwa muda mrefu sana?

Mkuu unazo nyuzi zozote ulizobandika kuhusu mada za magari? Nahitaji kuzipitia nitag
Sent using Jamii Forums mobile app
 
P ni gia sio gia?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama oil haitakiwi kupata joto kuna maana gani kuwa ma multigrade oil kama 20W50

Sina muda sana wa kuandika ila usidanganye umma kuwa oil ina warm up ndani ya 30 secs. Please.
 
Asante kwa maelezo lakini naona kama muda mrefu sana huo,dakika 20 kweli hazitoshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachofanya gari likae silence mda mrefu wa asubuhi ni uwezo wake wa kujaza upepo kama lina tatizo katika mfumo wa upepo. Kwa gari lisilokua na tatizo uhitaji kuachwa silence hadi lifikie normal running temperature ambayo huwa ni less than dk 10 zaidi ya hapo ni kucheza na mwarabu
 
Kama oil haitakiwi kupata joto kuna maana gani kuwa ma multigrade oil kama 20W50

Sina muda sana wa kuandika ila usidanganye umma kuwa oil ina warm up ndani ya 30 secs. Please.
Wapi nimesema oil in warm up ndani ya 30 secs?,
Nani anadanganya umma kati yetu?

Sent from my Lenovo L38041 using Tapatalk
 
Asante sana !

Sent from my Lenovo L38041 using Tapatalk
 
Nimekupata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…