Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi
N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.??
Mmmmm sio yote ....yaliyo mabovu yakamatwe warekebishe......kama mzazi wa shule husika piga kelele kwa uomgozi wa shule pia.....Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi
N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi
N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
Kipimo chake ni nini?Dr. Remmy (rip) kwenye beetle yake ikionekana mkangafu alikuwa na maandishi haya kwenye gari lake:
"Kwani baba yako analo?"
Kwa hakika yaliwakata sana kilimili limi watoto wa Sinza wa enzi hizo.
Mkuu kwani gari kuchoka kipimo chake ni kwa macho yako?