Kwanini mabasi mengi yanayobeba kupeleka watoto shuleni na kurudisha majumbani yanakua yamechoka sana?

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
558
Reaction score
661
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi

N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
 
kwa sababu elimu yenyewe ya kikoloni imejichokea

Anyways we si unatoa elfu 50 kwa mwezi unataka mtoto aendee kwa gari
 
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi

N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.??

Lipa ada kwa wakati
2...ntarudi badaae
 
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi

N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.
Mmmmm sio yote ....yaliyo mabovu yakamatwe warekebishe......kama mzazi wa shule husika piga kelele kwa uomgozi wa shule pia.....
 
Laiti kama wazazi wangekua makini, hii kero isingetokea! Kuna shule moja kulikuwa na kikao cha wazazi basi bana sijui ikawaje wazazi wakaomba wakapande mabasi ya watoto. Kilichotokea ilikuwa aibu sababu hata hao walimu wenyewe walijisikia vibaya na aibu kwa ubovu wa magari.
 
Kwa sababu wamiliki wa hizo shule wanataka faida kubwa matumizi kidogo.Maana kununua gari mpya na Kodi za Tanzania Inakuwa gharama kubwa sana maana watawala wetu hawapendi tumiliki magari.Kingine wasimamizi Latra na Hawa polisi usalama barabarani ni kama wameyatelekeza kuyakagua haya magari.
 
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend
Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi

N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika kazi na Wala sina mamlaka ya kuhoji katika hili.

Dr. Remmy (rip) kwenye beetle yake ikionekana mkangafu alikuwa na maandishi haya kwenye gari lake:

"Kwani baba yako analo?"

Kwa hakika yaliwakata sana kilimili limi watoto wa Sinza wa enzi hizo.

Mkuu kwani gari kuchoka kipimo chake ni kwa macho yako?
 
Kipimo chake ni nini?
 
Back
Top Bottom