Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

Nahisi hata aina ya mazoezi yanachochea kupata hamu ya kuingiliwa kimwili.
 
ukibeba vyuma sana unakua na kinyama na kinauma sasa ili kipoe inabidi uwekewe ndonga kirudi ndani
[emoji3][emoji51][emoji16][emoji23][emoji23][emoji1][emoji2] wabeba vyumaa mmesikiaaa jaman [emoji441][emoji441][emoji441]
 
Hawataki kazi wanashinda gym, wanataka kula bata bila kujua kutafuta pesa kwa jasho.
 
Inashangaza watu kwasababu watu wengi wamezoea stereotype kuwa gays wako feminine, kumbe sio kweli wengi wapo kawaida tu. Sasa unachoona sinza Kinondoni, ni kwamba Dar ni mji mkubwa watu wa Tanzania wa aina zote wanakutana kiurahisi na wanaishi kwa ukaribu, hao unaowaona sinza ndio uhalisia wa watu waliokuwepo ila wataonekana hapo zaidi kwasababu ndiko rahisi wao kuwa wengi sehemu moja kuliko mji mwengine tz.
 
Mazoez ya kunyanyua vitu vizito yanachochea uzwalishaji wa homoni ya kiume Testosterone ambayo ikizd sn inabadilishwa na mwili kuwa oestrogen homoni ya kike.. that's why wanakua mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…