Haiwezekani kuishi naye hapa,lazima tujenge yetu wawili.Mi sioi mkuuHakuna kijana anayemkataa Single mom anayemiliki mjengo, Vijana wako tayari kuwa baba wa nyumbani kulea watoto wa kambo kama nyumba ipo.
Gharama zimejificha vipi wakati ni kitu kinachoeleweka kabla ya ujenzi? Mimi nadhani ujenzi wetu bado ni kienyeji, na usiofuata mahesabu. Mahesabu madogo tu yanatosha kujua ukubwa wa kifusi kabla hata hujaanza nyumba. NB: Bongo kuna mitego ya kitapeli kwenye mambo mengi hivyo mafundi hutumia huu mwanya kupiga fedha.Kifusi ni moja ya hidden cost kwenye ujenzi
Huwa hatufikirii sana hilo ila kinagharimu sana ikitegemea ujazo utakaoingia kwenye nyumba yote
Gharama inaanza utakapokipata je, watakuuzia bei gani? Utakaowalipa kukipakia kwenye gari Wale watakaokijaza site Na usafiriHii kitu huwa inawauma sana maboss maana mafundi wengi huwa hawakumbuki kuwaambia mabosi. Inakuwa nje ya bajeti ya mwenye nyumba
Iliwahi kunigharimu sana hii, msingi wa nyumba ulienda juu sana hivyo mashimo kwenye vyumba na korido yakawa marefu kilihitajika kifusi cha maana kmmmk
Ukiacha kifusi kwa ajili ya nyumba yenyewe huwa kuna kifusi cha kufanyia levelling ikitegemea kiwanja kilivyo zote hizi ni gharama zilozojificha wakati wa ujenzi
Kwa hiyo gharama ya kifusi ni kubwa kuliko basement?Ni gharama ya kipumbavu, Suluhisho ni kujenga basements tu kama mbele huko.
Hongera Mama mjengo ,kumbe ualimu unalipa 😛😛Mi nilibahatika uwanja ulikuwa na gema kidogo,nikatumia hilo kujaza udongo ,walinipiga tu gharama ya kujazia
🤣niache bhanaHongera Mama mjengo ,kumbe ualimu unalipa 😛😛
🤣niache bhana
Basement unaweza kuweka hata magunia ya mahindi, mpunga na maharage.Kwa hiyo gharama ya kifusi ni kubwa kuliko basement?
Kwa hiyo ukipewa ramani unajua exactly kiasi cha kifusi kitakachohitajika?Gharama zimejificha vipi wakati ni kitu kinachoeleweka kabla ya ujenzi? Mimi nadhani ujenzi wetu bado ni kienyeji, na usiofuata mahesabu. Mahesabu madogo tu yanatosha kujua ukubwa wa kifusi kabla hata hujaanza nyumba. NB: Bongo kuna mitego ya kitapeli kwenye mambo mengi hivyo mafundi hutumia huu mwanya kupiga fedha.
Umesema vyemaHiyo ni gharama ambayo huwa haitajwi awali kabisa. Matokeo yake boss haiweki kwenye bajeti. Boss mgeni kwenye ujenzi anaweza kuona kama anaonewa hivi?
SahihiMaji na kifusi...
Wengi wao huchukulia poa lakini baadaye hugeuka milio
Unaweza kupata makadirio vizuri kabisa, lakini ikiwa unaenda kwa kutumia utamaduni wa kitanzania wa ''mazoea na kuigana'' hutaweza. Huwezi kupata exactly figure lakini makario unaweza kabisa. Watu wanapiga mahesabu ya anga za juu na wanapaa kwenda mwezini, mambo madogo kama hayo yashinikane? You must be kidding dear! NB: labda hujui wataalam wanaoitwa quantity surveyors wana kazi gani.. The real problem ni kuwa nyumba zetu tunajenga kwa kutumia mazoea na siyo utaalam.Kwa hiyo ukipewa ramani unajua exactly kiasi cha kifusi kitakachohitajika?
Au utajua kiasi cha kifusi kinachohitajika baada ya msingi kujengwa?
Ipo hivi kiwango cha kifusi kitahitajika inategemea:
Utajuaje haya kama bado haujajenga msingi? Ndio maana huwa tunasema ni hidden cost
- Mwinuko wa eneo (slope)
- Kina cha msingi
- Aina ya msingi inayotumika
- Kiwango cha kukandamiza (compaction) kifusi
Wazo la kujua kifusi kitahitajika lipo kabla hata ya ujenzi, ila kiasi gani hasa cha kifusi utahitaji ni mpaka msingi ujengwe, hapo sasa utaweza kutumia hesabu za Ujazo (M³=urefu×upana×kimo)
Ukipata jumla ya M³ za msingi wote hapo sasa ndio itakusaidia kujua gharama halisi na itakusaidia kujua utumie aina gani ya truck kama ni canter, fuso bajaj, fuso double, mende, Howo m³20 n.k na bei zao
Fundi alinipigia hesabu ya trip 8 kujaza kifusi, kulikuwa na kichuguu pembeni nikaamua kukibomoa kwa mikono yangu mwenyewe.Kifusi ni moja ya hidden cost kwenye ujenzi
Huwa hatufikirii sana hilo ila kinagharimu sana ikitegemea ujazo utakaoingia kwenye nyumba yote
Gharama inaanza utakapokipata je, watakuuzia bei gani? Utakaowalipa kukipakia kwenye gari Wale watakaokijaza site Na usafiriHii kitu huwa inawauma sana maboss maana mafundi wengi huwa hawakumbuki kuwaambia mabosi. Inakuwa nje ya bajeti ya mwenye nyumba
Iliwahi kunigharimu sana hii, msingi wa nyumba ulienda juu sana hivyo mashimo kwenye vyumba na korido yakawa marefu kilihitajika kifusi cha maana kmmmk
Ukiacha kifusi kwa ajili ya nyumba yenyewe huwa kuna kifusi cha kufanyia levelling ikitegemea kiwanja kilivyo zote hizi ni gharama zilozojificha wakati wa ujenzi
Na bado kuna vidada vya mjini vina ujasiri wa kukuomba pesa ya nauli, wigi na birthday mtu kama wewe😁Fundi alinipigia hesabu ya trip 8 kujaza kifusi, kulikuwa na kichuguu pembeni nikaamua kukibomoa kwa mikono yangu mwenyewe.
Asubuhi na jioni nikamaliza
Kumbe makadirio, kwa hiyo tunarudi palepale, msingi ukishajengwa ndio utapata jibu kamili la kifusi kinachohitajikaUnaweza kupata makadirio vizuri kabisa, lakini ikiwa unaenda kwa kutumia utamaduni wa kitanzania wa ''mazoea na kuigana'' hutaweza. Huwezi kupata exactly figure lakini makario unaweza kabisa. Watu wanapiga mahesabu ya anga za juu na wanapaa kwenda mwezini, mambo madogo kama hayo yashinikane? You must be kidding dear! NB: labda hujui wataalam wanaoitwa quantity surveyors wana kazi gani.. The real problem ni kuwa nyumba zetu tunajenga kwa kutumia mazoea na siyo utaalam.
Chochote kwenye ujenzi wa nyumba ni makadirio. Huwezi kuwa na exactly figure. Anyway, tumekubaliana kuwa inawezekana kupunguza au kumaliza hayo malalamiko ya vifusi kati ya fundi na mwenye nyumba kama utaalam zaidi utahusika. Hali ya sasa ni kwamba mafundi wanapitia kwenye kichochoro cha kutojua makadirio.Kumbe makadirio, kwa hiyo tunarudi palepale, msingi ukishajengwa ndio utapata jibu kamili la kifusi kinachohitajika
Hao quantity surveyors wanachofanya ni makadirio si figure halisi ndio maana wakati fulani huongeza viwango