Kwanini mabosi wengi ikifika muda wa kujaza kifusi kwenye nyumba huwa hamtaki?

Yeah na ndio maana fundi hawezi kukwambia kifusi kinachohitajika kabla ya kujenga msingi

Ni nani anayefanya ujenzi hapa Tanzania na huku tayari amepeleka kifusi site kwa ajili ya kujaza msingi?

Au wewe mwenzetu ulipojenga ulipeleka kifusi site kabla ya ujenzi?
 
Nimesema hivi: ukitaka kujua makadirio ya kila kitu unaweza, lakini kwa sababu ya uduni wa mafundi wetu, hilo jambo linakuwa haliwezekani na ndiyo maana linaibua mgogoro. Tatizo siyo kifusi kuwa site au mbali. Tatizo ni makadirio.
 
Mimi fundi kutoniambia kiasi cha kifusi kabla ya msingi wala siwezi kumlalamikia maana najua ishu ya kifusi tutakuja kugombana tu huko mbeleni

Umewahi kujenga chifu?
 
Mimi fundi kutoniambia kiasi cha kifusi kabla ya msingi wala siwezi kumlalamikia maana najua ishu ya kifusi tutakuja kugombana tu huko mbeleni

Umewahi kujenga chifu?
Culture ya kibongo bongo imeku-affect kweli kweli. Mtu hafanyi mjadala na wewe bila kugundua wewe ni product ya Bongo 100%. Ule ule ujinga wa kuwa mpaka ufanye jambo ndiyo ulijue. Kwani siwezi kujua kuwa kwenye kujenga kuna mtu mtaalam mwenye uwezo wa kukadiria gharama? Acha ulimbukeni wako huko huko Bongo.
 
Hujajibu swali
 
Hakuna kijana anayemkataa Single mom anayemiliki mjengo, Vijana wako tayari kuwa baba wa nyumbani kulea watoto wa kambo kama nyumba ipo.
Mm mwnyw sitak single mother, ila kama anajimudu ah bc fresh kabisa najiweka hapo Natulia tuliiiiiiiiiiiiiiiii ๐Ÿ™Œ
 
Umekaribisha mchwa ndani ya nyumba wataalam hawashauri kabisa kuweka kifusi cha kichuguu maana kinakua na mchwa ni hatari sana
Mchwa tutapambana nao tu kina miaka miwili sasa sijaona mchwa.

Hata mimi nilikuwa na wasiwasi na hilo baada ya kumaliza kujaza nilinunua dawa nikajaza maji kwenye mapipa mawili nikapiga kifusi chote ndani
 
Hii imenikuta aisee kifusi aiseee pia mafundi wanalalamika bila ya kifusi wanapata shida kweny ujenzi sio poa aiseee๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ